(PICHA) Lowassa atua Arumeru kwa kishindo: Chadema waparaganyika

(PICHA) Lowassa atua Arumeru kwa kishindo: Chadema waparaganyika

kwa wale wapenda fujo kuna zawadi yenu hapa , zipo zimeletwa 28

428979_369176749773940_100000448559311_1320290_284476922_n.jpg

gaddafi alikuwa na za kisasa kuliko hizi, lakini aliishia kujificha kwenye calavat!
 
Ama kweli watanzania inabidi wafunge bila kujali tofauti zao kuliombea taifa! Magamba yanasaka uongozi kwa kutumia pesa!
 
Hili imeanza kuwa nzuri kwa upande wa CCM baada ya Jemedali Luteni Edward Lowasa kutua
arumeru, kweli nimeamini Lowasa ananguvu mitaa yote ya Arumeru walikuwa wanamshangilia
yeye Picha nyingine zitafuata

monduli11.JPG



03_12_v5kb2e.jpg
Haisaidii sana kutumia picha za zamani!!
Inaonyesha ulivyo desparate!
Maji ya shingo!!
 
kupeng'e hufai kabisa...yaani umechuka picha ya mkutano wa injili halafu wa mwakasege halafu unakuja kusema hapa eti ni mkutano wa lowasa...shenzi kabisa
 
hili imeanza kuwa nzuri kwa upande wa ccm baada ya jemedali luteni edward lowasa kutua
arumeru, kweli nimeamini lowasa ananguvu mitaa yote ya arumeru walikuwa wanamshangilia
yeye picha nyingine zitafuata

monduli11.jpg



03_12_v5kb2e.jpg

hii picha ya chini sio ya leo..ishauza nyago sana hapa jamvini!
 
Hili imeanza kuwa nzuri kwa upande wa CCM baada ya Jemedali Luteni Edward Lowasa kutua
arumeru, kweli nimeamini Lowasa ananguvu mitaa yote ya Arumeru walikuwa wanamshangilia
yeye Picha nyingine zitafuata

monduli11.JPG



03_12_v5kb2e.jpg

duuh..kwel galacha kaumbuka..au magambaz mnatumia nguvu ya umma siku hizi
 
Naona kwenye picha wengi ni watoto, na hao jamaa wawili nafikiri ni wanakwaya.
 
Uchaguzi mdogo Arumeru Mashariki umemalizika rasmi leo.

Wewe Ritz hembu fafanua basi kama kweli we sio mnafiki na mmzandiki??!
Au ni baada ya babio kumaliza ku-finalise maelezo na plan ya wivi then kakuachia wewe kusema % ya ushindi iwe ngapi?? Funguka kijana kwani hatuhoji hapa ukwasi wako!!
 
inaonekana we huijui jiografia ya ARUSHA so kaa kimya, mtu anaweza akatoka moshi akaenda arusha na akazungukia maeneo yote tajwa hapo asimalize hata masaa matatu!

Kwenye red: unaomuongelea Prof Maji Marefu na ungo wake?
 
Kuna watu wanajua kucheza na akili za watu.
 
hiyo picha ya juu ni monduli....ungeweka picha bila ya huyo mtu wa kulia kuwa hapo(waliosimama pembeni ya gari) ningejua..........huyo mtu aliyesimama kulia kwa sasa hayupo arumeru.....acha uongo mtoto
 
Back
Top Bottom