(PICHA) Lowassa atua Arumeru kwa kishindo: Chadema waparaganyika

(PICHA) Lowassa atua Arumeru kwa kishindo: Chadema waparaganyika

Title na Contents haziendani, lowasa atua armr cdm waparanganyika halafu unataka upewe tarifa, What a ****.
 
Kama kweli huyu jamaa kaingia Arumeru kwa stahili ya kwenye hiyo picha basi tuna safari ndefu ya kuleta ukombozi wa taifa hili..na tunahitaji nguvu za ziada za kuikomboa hii nchi.Lakini naamini watu wa Arumeru wanajua kupima makapi na mchele.
 
Siku Edward Lowassa Alipozindua Kampeni Zake rasmi Mto wa Mbu


Written by haki | // 0 comments

Mgombea ubunge wa jimbo la Monduli kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa Edward Lowassa akiingia katika mji mdogo wa Mto wa Mbu jimboni Monduli kuanza mkutano wa kuzindua kampeni zake rasmi hivi karibuni.

Source:H@ki Ngowi: Siku Edward Lowassa Alipozindua Kampeni Zake rasmi Mto wa Mbu

Unaona sasa!!?? kumbe picha zenyewe za kampeni za uchaguzi mkuu 2010, tena mto wa mbu?

Kweli ccm wamekwisha, hadi picha wanachakachua? sasa kwa faida ya nani?
 
Edward Ngoyai Lawasa, Rais wa Jamhuri ya Tanzania...Awamu ya Tano. Mbona naona kama tune haijakaa vizuri sana...? duh, ngoja tuone.:scared:

Cooked. Ni ngumu kushawishi wana jamvi credibility ya hizi picha. Tumeona post ya mdau mmoja akitupa source ya picha hizi.
 
kwa wale wapenda fujo kuna zawadi yenu hapa , zipo zimeletwa 28

428979_369176749773940_100000448559311_1320290_284476922_n.jpg
Unajua thamani ya hiyo gari ni madawati mangapi? au dispensari ndogo ngapi vijijini? Watu wenye akili wanapima serikali yao kwa vipaumbele. Kweli mtoto wa Kitanzania anakaa chini kwenye vumbi darasani toka std 1 to 7 halafu serikali inatumia mamilioni kununua magari ya majiwasha ili kudhibiti demokrasia? kama hicho ni kipaumbele chake basi haifai hata kidogo kuwepo madarakani. Inapaswa kuondolewa kwa namna yeyote ile.
Jana nimeona Maandamano kule Mali ya raia wanaunga mkono kuondolewa madarakani kwa utawala wa kiraia nikashangaa sana. Nashukuru wewe umenipa majibu kwa nini hali sehemu nyingine imefikia hapo.
 
Unaona sasa!!?? kumbe picha zenyewe za kampeni za uchaguzi mkuu 2010, tena mto wa mbu?

Kweli ccm wamekwisha, hadi picha wanachakachua? sasa kwa faida ya nani?

Mkuu,rejao na wakoro wenzie wapo tayari hata kuuza masaburi/mawazo/akili yao ili mradi tu watumikie mabwana zao, mods kama hampo biased basi alieyeleta hiyo picha apewe ban!!
 
CDM kazi mnayo....tafuteni cha kufanya, achaneni na siasa!!!

wa kuachana na siasa ni wapinga ufisadi wa bandia ndani ya ccm kama NAPE NNAUYE, SAMWELI SITA NA OLE SENDEKA. chadema ni chama makini cha upinzani TANZANIA. ccm lowassa ameiweka mfukoni!
 
Unaona sasa!!?? kumbe picha zenyewe za kampeni za uchaguzi mkuu 2010, tena mto wa mbu?

Kweli ccm wamekwisha, hadi picha wanachakachua? sasa kwa faida ya nani?


mkuu kuna mahali nimesema hii huyo mtu aliyesimama upande wa kulia hayupo arumeru..nikaongeza pia kuwa hii picha si ya arumeru ni ya mwaka 2010 wakati wa kampeni jimboni monduli.....ninasema hivi maana nina uhakika asilimia 10000000000.......
 
Open picha hii hapa kuona kinachoendelea arumeru

Hivi hao vijana wanao mfuata Lowassa wanatumaini lipi? mh! ukiwa masikini utaona kila mtu anweza kuwa mkombozi hata kama mtu mwenyewe ni jambazi, hii ni dalili ya vijana kuchanganyikiwa na kushindwa kuelewa nani anaweza kuwa mkombozi wao, hakika hili nalo ni bomu
 
hiyo picha ya lowasa si arumeru bali ni mto wa mbu 2010.....kupen'ge sh...enzi kabisa
 
eti magamba nao wamegeuka makamanda hii sasa kali... Hata kwa akili ya 1+1 EL anaweza kuwa kamanda kweli???
 
gaddafi alikuwa na za kisasa kuliko hizi, lakini aliishia kujificha kwenye calavat!

NAWAKUMBUSHA VIONGOZI WANGU WA CCM HAKUNA FALME ILIZALIWA IKADUMU MILELE DUNIANI ROMA ILIKUJA IKAPITA, OTOMAN IKAJA IKAPITA,UK IKAJA IKAPITA,HITLA(grm) IKAPITA,HATA USA ITAPITA!! . KWENYE SIASA VILE VILE HAKUNA CHAMA KILIANZISHWA KIKADUMU MILELE MADARAKANI HATA KWA MTUTU WA BUNDUKI NA VIFARU!!! KILA KITU KITAPITA. TUOMBE HERI KISIPITE KWA SHARI...KUMBUKENI KUNA THE HEQUE!!! WAULIZENI WAKENYA WALIOUA WANAHARAKATI WANAVYOTAPATAPA SASA. YUPO WAPI TAYLOR? YUPO WAPI GBAGBO? ETC .
TUNAOMBA UCHAGUZI HURU ARUMERU!!!!!!!!!!!!!!!! IWE NI CCM AMA CDM AMA SIJUI NINI....(Nimesahau vyama vingine maana havisikiki!!!) MSHINDI AWE HALALI. HATUTAKI MAMBO KAMA YA MEYA WA ARUSHA (Yote ilitokana na mioyo migumu ya Magamba!!).
 
Wenye taarifa tupeni, tujuzuzeni Kama kamanda wetu yupo ndani ya meru?
Sasa wewe maji ya mtungi hata aliko kamanda wako hujui ila heading yako unasema katua kwa kishindo pili unasema cdm imeparaganyika wakati unaomba kujuzwa aliko kamanda wako, ok tuyaache hayo kumbe huko nako kuna makamanda? Hongereni kwa hilo ila kwa tathmini ya kitaalamu huyo kamanda atawapunguzia kura badala ya kuziongeza.
 
Unaona sasa!!?? kumbe picha zenyewe za kampeni za uchaguzi mkuu 2010, tena mto wa mbu?

Kweli ccm wamekwisha, hadi picha wanachakachua? sasa kwa faida ya nani?

Mkuu ni kweli hizo picha ni za mwaka 2010. Kama hiyo aliyepo kwenye gari ni Monduli mwaka 2010 na sio Arumeru.

Picha za leo ni hizi.

Mkapa akiwa KIA baada ya kupokelewa hapo leo

DSC05999.jpg


Na hii ya pili Lowassa akiwa wilayani Monduli leo ambapo Meneja wa Uhusiano wa NMB alikwenda Monduli leo kutoa msaada ya sh milioni 10 kwa ajili ya waathirika wa mafuriko.

IMG_5436.jpg
 
Acha kunichekesha...KIA na Usariver kuna umbali gani?? Unajua natumia means gani?


Sina sababu ya kukuchekesha, wewe mwenyewe ulisema ulitembea "Nimetembea kuanzia KIA, Kikatiti, Maji ya Chai na Usariver! kote huku hawataki kabisa kuiskia CDM!". Nijuavyo, KIA handi Usa River kuna ubali usiopunga kilomita 23. Kama ungelitembea tusema 5kms per hr, basi ingekuchukua takriban 5hrs.

Cheki hapa baadhi ya picha za zomea zomea iliyompata Lowasa
Picture 029.jpg
Picture 031.jpg
Picture 041.jpg
Picture 036.jpg
 
Back
Top Bottom