luvcyna
JF-Expert Member
- Feb 24, 2009
- 1,848
- 1,940
Hili imeanza kuwa nzuri kwa upande wa CCM baada ya Jemedali Luteni Edward Lowasa kutua
arumeru, kweli nimeamini Lowasa ananguvu mitaa yote ya Arumeru walikuwa wanamshangilia
yeye Picha nyingine zitafuata
![]()
![]()
jamani mpendwa malaria sugu unanipa raha sana mrembo wangu,..kumbe na CCM siku hivi mnatumia alama ya V kuwapungia viongozi wenu,mbona naona watu wanatumia hiyo alama kushangilia kwenye hiyo picha ya mwisho...au ndo wale Dr.Slaa aliowaaambia wakasikilize sera za CCM