Picha kubwa kwa kinachoendelea Tanzania

Picha kubwa kwa kinachoendelea Tanzania

Smartkahn

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2020
Posts
877
Reaction score
1,472
Kinachoendelea Tanzania ni mgogoro wa kikanda(East Africa) sababu kubwa ikiwa ni rasilimali zilizopo katika nchi hizo hasa pale DRC.

Kwa yanayoendelea Tanzania kutekwa mauwaji etc ni mbinu au mikakati ya ki-intellijensia ku- counterattack mipango ya ki-intellijensia.

Diplomasia ya awamu ya nne na ziara ya OBAMA Tanzania ilikua na lugha yake ki-intellijensia... mapigo yakajibiwa kwa Diplomasia ya awamu ya tano, wakaona haiwezekani kizembe hivi wakapindua meza na sasa hawataki utani wameamua hakuna kurudi nyuma.

Yanayoendelea ni mambo mazito na yakikatili lakini hayana budi kutokea kwasababu ndio kete zenyewe kulingana na umuhimu wa kinachopambaniwa (maslahi mapana(kuna nchi/watu wanamaslahi mapana na nchi hii kuliko hata wenye nchi wenyewe))

Kwa kifupi Tanzania tupo vitani tokea UVIKO19 uanze lile gonja lilikua ni bioweapon lililohalalisha operation ya kuondoa watu visiki(mashine za nchi zinazooperate nyuma ya pazia)

Na hapa Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizopoteza wataalamu wabobevu na mahili wengi mno.)

Vita iliongeza kasi baada ya kuondokewa na rais na kupata rais mwingine... Na mambo yaliofanyika mengi kipindi hiki yalikua ni maandalizi ya vita kamili hardpower, kuanzia zile fununu za mikataba ya bandari, misitu, mbuga etc hayo ni maeneo muhimu kimkakati katika vita na ndio maana walioliona hilo walipiga sana kelele. Na hii mikataba ilisainiwa kilazima kwa gharama za uhai wa watu na vitishio vya kigaidi na majanga ya kiasili.

Na wale tuliosaini nao mikataba kwamba tunawapa watuendeshee miradi yetu kunauwezekano mkubwa wakawa ni proxy company wa maadui zetu kamili... Kwahiyo sio tu kwamba tumempa adui yetu ramani bali tumemkaribisha hadi vyumbani mwa lijengo letu.

Kiuhalisia hao watu sio maadui ila wana-force tushilikiane nao kulingana na fursa walizoziona huku kwetu yamekua mahusiano tungewaita Golddigger ambao hawataki tuwe na michepuko mingi ili wawe pekeyao tu ndio wafaidi zaidi maana wanaona kama u-single wetu unafanya tunatapanya mali kwa kila malaya anaekatiza... Hasa ukizingatia status yao, wanahitaji kujijenga zaidi ili wasije kupoteza hadhi hiyo na kuhakikisha anaemkalibia katika level hiyo hapati fursa zaidi ili asijekumpiku.

HATUJAOA WALA KUOLEWA NA KIBAYA ZAIDI TUMEZIBA NJIA KUU ZA KUELEKEA KWA MABINTI VIGORI (STRATEGICALLY LOCATED NA HATUFUNGAMANI NA UPANDE WOWOTE)

Hii sifa tulionayo ndio inayotuponza mpaka hivi sasa tupo kikaangoni tunaungulia.

Sasa inaonekana humu ndani nchini kuna makundi mawili kunawanaotaka Tanzania ifungamane na upande flani kunaambao wanataka tuendelee hivi hivi... Hapa ndipo mgogoro unapamba Moto...

Sasa mimi ninafikili hivi na huu ndio ushauri wangu kwa Nchi.

TUSIWE WA UPANDE WOWOTE NA TUSICHAGUE UPANDE WOWOTE BALI TUWE /TUFUNGAMANE NA UPANDE WOTE.

GRANDY STRATEGY.

Yaani kila atakaekua tayari kushirikiana na sisi basi kusiwe na sheria yoyote ya kutuzuia kufanya hivyo na kila tutakayemtaka basi vivyo hivyo asiwepo yeyote wa kutuzuia.

Nchi ipitie vizuri sheria na vipaumbele vyake kisha iboreshe Nchi iwe katika position ya katikati World Free Trade Center/zone (WFTC).

Nchi ipokee kampuni, wawekezaji wabia kutoka taifa lolote ulimwenguni pasipo kijali tofauti zao za kikanda, itikadi, siasa Imani etc.

Kwahiyo nchi itakuwa ni lango la biashara, tamaduni hasa kwa third world and sub-sahara Africa kwa ulimwengu wote hawa landlocked countries tuwafungulie dunia.

Ifanyike namna mpango wa kujenga bandari kubwa mno itakayokuwa na miundombinu imara reliable na yakisasa pembeni kidogo litengwe eneo kubwa sana litakalogawanywa katika blocks kulingana aina ya uwekezaji na wapewe hao tutakaofungamana nao kwa walio tayari... Na kama kunawanao kereketwa sana potential tulizonazo huku basi wachangamkie fursa hii(wawahi hizo blocks) kwa ushindani chanya na sio hasi kama hivi wanavyofanya.

HITIMISHO.
Tushilikiane/tufungamane nao katika kudumisha faraja (upendo, amani, mazingira ya ustawi wa kizazi cha sasa na cha baadae kwa Jamii zote ulimwenguni) na si vinginevyo.

Maana kuna wanaoendelea kuamini kuwa na faraja upendo amani mazingira ya ustawi wa jamii zao kwa kizazi hadi kizazi chao cha baadae kwa gharama za uhai, amani, mazingira na rasilimali za jamii nyingine. Sasa globally and collective as a whole... hayo sio maendeleo, sasa hivi ulimwengu unahitaji maendeleo jumuishi kwa kizazi cha sasa na cha baadae kwa (Sustainable development) kwa jamii zote ulimwenguni kuliko hata mnavyofikilia.

Kwani uchumi, utaifa, dini sio real ni just illusive idea evolution katika fikra, hivyo hakuna haja ya kupambana kikatili wenyewe Kwa wenyewe kwani dunia ni moja... Na viumbe wote tunahitaji kuiona dunia katika faraja na kifaidi amani yake.

Na huu ni ujumbe kwa CIA| MAREKANI kutoka kwa wana wa Sub-Saharan Africa.
 
Niliwahi kusoma humu coment ya mdau kwamba, hao watu wanasemi zao zinasema;
"Somalia will never know peace until Jesus comes back"

Or

"Tanganyika is peaceful coz DRC has war but the day DRC has peace then Tanganyika will have war"
 
Hata uchaguzi wa maana haufanyiki tena kwa sababu ya rasilimali za nchi, inabidi sasa watu wawe wanapachikana tu kihuni.
Hata wanafamilia tunawapa vyeo na kunawajaza madarakani kwa sababu ya mgogoro wa kikanda na rasilimali.
Ujinga mtupu.
 
Hayo tunaweza fanikisha tu kama tutakuwa na viongozi wenye kuwa na picha pana ya ustawi wa taifa hili,ambao wapo tayari kujitoa kwa maslahi mapana ya taifa hili,si kwa ajili ya watoto wao,si kwa ajili ya mashemeji zao,si kwa ajili ya kachama fulani tu,bali kwa ustawi wa kila aitwaye mtanzania.

Bahati mbaya kwenye mamlaka(halali au haramu) hatuna kaliba hiyo ya viongozi.
 
Mpole uchaguzi kihuni bila kuchaguliwa na wananchi,mjipachike madarakani kwa bunduki, muuwe watanzania elfu 23 plus,mteke,mlawiti,mfire na mbake,pia isitoshe mmenyima watu wasizike kwa heshima miili ya wapenda wao,na bado tena mmefukia miili ya vijana wazalendo wa Tanganyika wengine pia wakiwa hai kama kuku waliokufa na kideli,bado mnakuja na propaganda ya kipumbafu acheni usenge
 
Umeongea kwa uchungu Sana...Serikali inabidi ijerekebishe
 
Dola la kushi lipo njiani.

Gamba linavuliwa kwa maumivu makubwa .

Kuivunja mikataba ya kimangungo
Bila kutikisa na kuigusa misingi ni kazi Bure.
 
Hata uchaguzi wa maana haufanyiki tena kwa sababu ya rasilimali za nchi, inabidi sasa watu wawe wanapachikana tu kihuni.
Hata wanafamilia tunawapa vyeo na kunawajaza madarakani kwa sababu ya mgogoro wa kikanda na rasilimali.
Ujinga mtupu.
Hawa Jamaa ni wapumbavu wa kutupwa, tatizo watengeneze wao, lawama wamrushie Mzungu.
Stupid indeed 🚮
 
Kinachoendelea Tanzania ni mgogoro wa kikanda(East Africa) sababu kubwa ikiwa ni rasilimali zilizopo katika nchi hizo hasa pale DRC.

Kwa yanayoendelea Tanzania kutekwa mauwaji etc ni mbinu au mikakati ya ki-intellijensia ku- counterattack mipango ya ki-intellijensia.

Diplomasia ya awamu ya nne na ziara ya OBAMA Tanzania ilikua na lugha yake ki-intellijensia... mapigo yakajibiwa kwa Diplomasia ya awamu ya tano, wakaona haiwezekani kizembe hivi wakapindua meza na sasa hawataki utani wameamua hakuna kurudi nyuma.

Yanayoendelea ni mambo mazito na yakikatili lakini hayana budi kutokea kwasababu ndio kete zenyewe kulingana na umuhimu wa kinachopambaniwa (maslahi mapana(kuna nchi/watu wanamaslahi mapana na nchi hii kuliko hata wenye nchi wenyewe))

Kwa kifupi Tanzania tupo vitani tokea UVIKO19 uanze lile gonja lilikua ni bioweapon lililohalalisha operation ya kuondoa watu visiki(mashine za nchi zinazooperate nyuma ya pazia)

Na hapa Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizopoteza wataalamu wabobevu na mahili wengi mno.)

Vita iliongeza kasi baada ya kuondokewa na rais na kupata rais mwingine... Na mambo yaliofanyika mengi kipindi hiki yalikua ni maandalizi ya vita kamili hardpower, kuanzia zile fununu za mikataba ya bandari, misitu, mbuga etc hayo ni maeneo muhimu kimkakati katika vita na ndio maana walioliona hilo walipiga sana kelele. Na hii mikataba ilisainiwa kilazima kwa gharama za uhai wa watu na vitishio vya kigaidi na majanga ya kiasili.

Na wale tuliosaini nao mikataba kwamba tunawapa watuendeshee miradi yetu kunauwezekano mkubwa wakawa ni proxy company wa maadui zetu kamili... Kwahiyo sio tu kwamba tumempa adui yetu ramani bali tumemkaribisha hadi vyumbani mwa lijengo letu.

Kiuhalisia hao watu sio maadui ila wana-force tushilikiane nao kulingana na fursa walizoziona huku kwetu yamekua mahusiano tungewaita Golddigger ambao hawataki tuwe na michepuko mingi ili wawe pekeyao tu ndio wafaidi zaidi maana wanaona kama u-single wetu unafanya tunatapanya mali kwa kila malaya anaekatiza... Hasa ukizingatia status yao, wanahitaji kujijenga zaidi ili wasije kupoteza hadhi hiyo na kuhakikisha anaemkalibia katika level hiyo hapati fursa zaidi ili asijekumpiku.

HATUJAOA WALA KUOLEWA NA KIBAYA ZAIDI TUMEZIBA NJIA KUU ZA KUELEKEA KWA MABINTI VIGORI (STRATEGICALLY LOCATED NA HATUFUNGAMANI NA UPANDE WOWOTE)

Hii sifa tulionayo ndio inayotuponza mpaka hivi sasa tupo kikaangoni tunaungulia.

Sasa inaonekana humu ndani nchini kuna makundi mawili kunawanaotaka Tanzania ifungamane na upande flani kunaambao wanataka tuendelee hivi hivi... Hapa ndipo mgogoro unapamba Moto...

Sasa mimi ninafikili hivi na huu ndio ushauri wangu kwa Nchi.

TUSIWE WA UPANDE WOWOTE NA TUSICHAGUE UPANDE WOWOTE BALI TUWE /TUFUNGAMANE NA UPANDE WOTE.

GRANDY STRATEGY.

Yaani kila atakaekua tayari kushirikiana na sisi basi kusiwe na sheria yoyote ya kutuzuia kufanya hivyo na kila tutakayemtaka basi vivyo hivyo asiwepo yeyote wa kutuzuia.

Nchi ipitie vizuri sheria na vipaumbele vyake kisha iboreshe Nchi iwe katika position ya katikati World Free Trade Center/zone (WFTC).

Nchi ipokee kampuni, wawekezaji wabia kutoka taifa lolote ulimwenguni pasipo kijali tofauti zao za kikanda, itikadi, siasa Imani etc.

Kwahiyo nchi itakuwa ni lango la biashara, tamaduni hasa kwa third world and sub-sahara Africa kwa ulimwengu wote hawa landlocked countries tuwafungulie dunia.

Ifanyike namna mpango wa kujenga bandari kubwa mno itakayokuwa na miundombinu imara reliable na yakisasa pembeni kidogo litengwe eneo kubwa sana litakalogawanywa katika blocks kulingana aina ya uwekezaji na wapewe hao tutakaofungamana nao kwa walio tayari... Na kama kunawanao kereketwa sana potential tulizonazo huku basi wachangamkie fursa hii(wawahi hizo blocks) kwa ushindani chanya na sio hasi kama hivi wanavyofanya.

HITIMISHO.
Tushilikiane/tufungamane nao katika kudumisha faraja (upendo, amani, mazingira ya ustawi wa kizazi cha sasa na cha baadae kwa Jamii zote ulimwenguni) na si vinginevyo.

Maana kuna wanaoendelea kuamini kuwa na faraja upendo amani mazingira ya ustawi wa jamii zao kwa kizazi hadi kizazi chao cha baadae kwa gharama za uhai, amani, mazingira na rasilimali za jamii nyingine. Sasa globally and collective as a whole... hayo sio maendeleo, sasa hivi ulimwengu unahitaji maendeleo jumuishi kwa kizazi cha sasa na cha baadae kwa (Sustainable development) kwa jamii zote ulimwenguni kuliko hata mnavyofikilia.

Kwani uchumi, utaifa, dini sio real ni just illusive idea evolution katika fikra, hivyo hakuna haja ya kupambana kikatili wenyewe Kwa wenyewe kwani dunia ni moja... Na viumbe wote tunahitaji kuiona dunia katika faraja na kigaidi amani yake.

Na huu ni ujumbe kwa CIA| MAREKANI kutoka kwa wana wa Sub-Saharan Africa.
HUYU APUUZWE
MMEVUA NGUO WENYEWE NA KUWEKA NYETI ZENU HADHARANI HAMJUWI YA KUWA M AMSHAWISHI HATA ASIYEE NA WAZO. ACHENI KUPIGA KELELE MNAPOINGILIWA, MNALO PIA CHAGUO LA KUJISTIRI ILI MSIINGILIWE KIZEMBE.
 
Sio kweli sababu ya haya tunayopitia ni viongozi wetu wenyewe wamejipa vyeo vya umungu mtu..

Kuteka, kunyanyasa, kudhulumu, wanatawala kwa ulaghai, uwongo hila na unafki ndio sababu .

Viongozi wetu ni waongo mno alafu wanalazimisha uongo ndio uwe kweli sasa kinachotokea sababu jamii inajua sio kweli kunatokea resistance watu hawatii kile viongozi wana sema.

Hii ya kusema sijui ni rasilimali ni uongo pia wa haohao viongozi wetu kutuaminisha wako sahihi.
 
Tanzania will allow you to fire the first shot, but it will never allow you to fire the second one; it will make sure to strike you in a way that causes major consequences for the United States of America (USA).

TUMEJIPANGA
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
uhuni uhuni uhuni, tukatae uhuni, chanzo cha haya yote ni CCM na utawala wao wala hakuna lingine, Congo DRC wameshasaini Washington Accord yao, next stop Tanzania, kete zinasukumwa kitaalamu sana, ili uzijue lazima ushawahi kushiriki ama ni mdadisi wa mambo,
pigo moja tu nchi jirani sasa hivi inapaa, tunaandika hamsomi, uchawa tu
 
Back
Top Bottom