Picha: Kabla na baada ya mkutano wa Slaa kuvunjika Kasulu, Kigoma

Status
Not open for further replies.
Watu wa CCM wanajua kukuza mambo kweli. Habari kutoka katika chanzo changu cha kuaminika ni kwamba kulikuwa na vijana wapatao kama kumi na tano hivi ambao ndio waliofanya vurugu kwenye mkutano wa Dr. Slaa kwa kurusha mawe, hali iliyofanya polisi kuingilia kati kwa kupiga mabomu ya machozi ili kuwatawanya. Hali hii ilipelekea mkutano kuvunjika. Hii ni kumaanisha kwamba ni kikundi kidigo tu cha walevi walionunuliwa na wala isichukuliwe kwamba ni wananchi wote wa Kigoma kama Magamba wanavyotaka kutuaminisha.
 
Hivi nawe unatufanya na sisi misukule tuamini unachosema? Yaani watu 10 wavunje mkutano mpaka mabomu yamachozi yarushwe?akili za mbayuwayu hizi
 
quote_icon.png
By Excy

60760_446287235417628_1921730637_n.jpg
Hii picha ni ya Mbagala ipo hapa ::XDEEJAYZ-TANZANIA::: SAKATA LA WAISLAMU MBAGALA...

Na ilishapostiwa mara nyingi humu JF.
 
....Madam Heshima KWAKO!!

...angalia picha ya kwanza hapo juu ..huko si ndo kudhalilishana?

...mnapo tuma picha fikirini kwanza....

...JF inaangaliwa na maelfu ya watu..

TAFAKARI

Poleni sana kwa yanayowakuta. Kwanini umechaguwa picha ya kwanza tu, zingine huzioni?

Hivi wewe bado huelewi kuwa chadema kwishney?
 
Naomba serikali iingilie kati kusitisha hizi ziara za dr slaa nchini kuepusha uvunjifu wa amani na vurugu.

CCM mnaomba Dr. Slaa aache mikutano?? Sasa hapo Kigoma anakita miezi sita halafu kama hujui kazi ndiyo imeanza nchi nzima mpaka uchaguzi 2015, tumejipanga na tuko vizuri na tayari kwa lolote LILE.
 
Mleta mada ni muongo maana leo Kasulu
mvua imenyesha hali ni ya tope sio vumbi
kama picha inavyoonekana hapo juu.

Huyu ni mchochezi dhahiri kuna umuhimu
Mods wakapima uwekaji wa picha za kuchonga
 
Bora umeishtukia mkuu... hii ilikuwa wakati wa sakata la sheikh ponda...Waislam wa Temeke walijenga kwenye kiwanja chao BAKWATA CCM kama kawaida yao walikuwa tayari wameshachukua fedha za manji... baada ya kuona soo ikabidi wamsingizie sheikh ponda kuwa alisababisha fujo...

Me nabisha bana, temeke gani yenye watu wachache hivi?, majengo co ya temeke ona hata nguzo za umeme ya cojini hapa wadau!

Naunga mkono picha yaweza kua co ya sasa lakn co dar!
 
Cdm badala ya kukubali nyie mpo humu mnatetea ujinga, cha kushangaza mmebaki wachag wachache wasio na hoja. JF isipojiangalia inajimaliza yenyewe, maana great thinkers wote kumbe walikuwa wa Zitto, na sasa imebaki type ya Lema ndio wapo humu hata hawajui wanachoandika. Hawawezi kujenga hoja na kuitetea kila linalotokea wandhani kusema kuwa ni ccm inawasaidia. Nawasmbia tafuta majibu ya haya nyie wachag, si kila siku inabaki asubuhi. P.um.b.a.v.u wakubwa
 
Watu wa CCM wanajua kukuza mambo kweli. Habari kutoka katika chanzo changu cha kuaminika ni kwamba kulikuwa na vijana wapatao kama kumi na tano hivi ambao ndio waliofanya vurugu kwenye mkutano wa Dr. Slaa kwa kurusha mawe, hali iliyofanya polisi kuingilia kati kwa kupiga mabomu ya machozi ili kuwatawanya. Hali hii ilipelekea mkutano kuvunjika. Hii ni kumaanisha kwamba ni kikundi kidigo tu cha walevi walionunuliwa na wala isichukuliwe kwamba ni wananchi wote wa Kigoma kama Magamba wanavyotaka kutuaminisha.

A cha uongo watu kumi hawawezi kitu mbele ya maelfu ya with.
 
Najiuliza jamani mbona hofu ya aibu imekwisha siku hizi? Mtu na akili zako unachakachua picha bila kujua kuwa kama weye ulivyokumbuka hiyo picha kuna mwingine pia atakuwa anaikumbuka?
Kweli siasa za Maccm ni maji taka kabisa tena uchwara kabisa. Tumeishtukia hiyooo. Mfa maji huyooo. Na sasa hivi tu, hatujasema Dr. Slaa ndiye atagombea urais je tukimtaja mgombea wetu na Dr. Slaa akamuunga mkono sijui mtakunywa sumu
Wenyewe huwa wanaamin kuwa watanzania ni wepesi sana wa kusahau! unakumbuka Rais na Mwenyekiti wa CCM alivyosema kuhusiana na issue ya Jairo? eti huo nao ni UPEPO utapita tu!!!
 
994979_265243616960654_1232769514_n.jpg

993476_628799223848819_511373705_n.jpg

1462988_1495113184048044_19835484_n.jpg
1476459_1495113377381358_40530360_n.jpg
1450192_1495155387377157_1063479637_n.jpg
1450185_1495113467381349_1869304246_n.jpg
1450315_628801287181946_550272832_n.jpg
1478988_613771452015965_517396885_n.jpg

Baada ya mkutano wa Slaa Kuvunjia hali ikawa hivi.Polisi wakipambana na wananchi kutuliza Vurugu.
Naomba Mods Picha kama hizi na zile za mabango muziache wananchi wazione kama Mnachanganya basi wekeni kwenye Main post ya mada huzika,sio kuzificha kwenye Comment.Postive and Negative shall be open

Asante sana kwa picha hizi. Mimi si mwanachama wa CHADEMA nipo Kasulu kikazi kwa karibu mwaka sasa na nafahamiana na mashabiki wengi wa siasa, ni lazima nikiri kuwa sikupata kuhudhuria mkutano huu ingawa nilipenda kutokana na kutoka nje ya mji kikazi.
Mbona kwenye picha hizi naona ni mashabiki wa vyama vingine ndiyo wako mstari wa mbele kupambana na polisi wakibeba mabango? Yeyote atakayeziangalia vema na anayewafahamu wenyeji wa hapa atawagundua mashabiki wa CUF, CCM, na wengine ambao hata misamo yao kisiasa haieleweki. Nasema tena tunaishi nao, tunaelewana.
Huu ni uhuni ambao sidhani hata huyo Zitto angependa au angeufurahia kutokea.
Kwa picha hizi nashawishika kuamini fujo hizi ni zaidi ya zinavyoonekana, kuna watu au vikundi vimejipenyeza kuichochea.
Ni wazi hii si kwa afya ya demokrasia na uhuni huu ni budi ukemewe na kila chama kwani naamini yaliyotokea leo yanawezekana kujirudia, hata kwa vyama vingine.
Ushauri wangu kwa vyombo vya dola haswa TISS na Polisi ni kufanya upelelezi wa kina ili kuukomesha uhuni huu mara moja na zote.
Bado naamini uhalifu huu umechochewa hapa hapa bila ya kuvihusisha vyama kitaifa. Washughulikiwe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom