Picha: Kabla na baada ya mkutano wa Slaa kuvunjika Kasulu, Kigoma

Status
Not open for further replies.
Naomba serikali iingilie kati kusitisha hizi ziara za dr slaa nchini kuepusha uvunjifu wa amani na vurugu.
Kweli kabisa....Slaa arudi mujini dsm wakae kinondoni watafakari uamuzi wao dhidi ya zitto. Sio demokrasia kumtimua kiongozi eti kwa kua anaweka mkakati kugombea uenyekiti wa chama kwenye uchaguzi halali.
 
Bila kupepesa macho wala kutingisha masikio nasema Dr. Slaa amekwenda kuwachokoza watu wa Kigoma. Huu si wakati muafaka wa kwenda Kigoma wakati kijana wao wanamnyanyapaa kwenye Chama. Tutake tusitake Zuberi Zitto Kabwe ana mashiko Kigoma. Natamani nione Zitto akirudi jimboni kwake kuonana na wananchi wake baada ya hili kasheshe. Hakika nakuambia siku Zitto anatia mguu Kigoma, Kigoma itasimama. Ningekuwa Zitto ningeenda Kigoma mara tu baada ya mkutano huu wa Bunge.
Mkuu,
Nakuunga mkono kwa uliyonena, Kigoma ni wenye misimamo kupita maelezo.

Slaa asingeenda huko kipindi hiki, washauri wake wamempotosha kabisa. Chadema itazame safu zake kiushauri, pia ipime ushauri huo.
 
View attachment 125612

Hii picha ni uongo, ni picha ya zamani sana wakati wa harakati za waislamu.


HATA MIMI NAIKUMBUKA HII PICHA, ILIHUSU MAANDAMANO YA WAISLAM. APA WATAKA KUTUHAMINISHA NINI NA KWA FAIDA YA NAN? KAMA SI UPOTOSHAJI WA WAZI HUU?

Jf ITAPOTEZA HADHI KM MAMBO YENYEWE NDO YATAKUWA IVI. HAWA LAZIMA WACHUKULIWE HATUA KWA KUPOTOSHA
 
Hakika 2015 CCM haitoweza kufua dafu. mnasimamia anguko lenu kwa gharama zenu wenyewe!. You are STUPID mleta mada....
 
Naomba serikali iingilie kati kusitisha hizi ziara za dr slaa nchini kuepusha uvunjifu wa amani na vurugu.
Vurugu zimeletwa na wananchi waliovurugwa na ccm, ukiangalia walioshika mabango huoni yanasura za kigaidi.
 
Bora umeishtukia mkuu... hii ilikuwa wakati wa sakata la sheikh ponda...Waislam wa Temeke walijenga kwenye kiwanja chao BAKWATA CCM kama kawaida yao walikuwa tayari wameshachukua fedha za manji... baada ya kuona soo ikabidi wamsingizie sheikh ponda kuwa alisababisha fujo...

Najiuliza jamani mbona hofu ya aibu imekwisha siku hizi? Mtu na akili zako unachakachua picha bila kujua kuwa kama weye ulivyokumbuka hiyo picha kuna mwingine pia atakuwa anaikumbuka?
Kweli siasa za Maccm ni maji taka kabisa tena uchwara kabisa. Tumeishtukia hiyooo. Mfa maji huyooo. Na sasa hivi tu, hatujasema Dr. Slaa ndiye atagombea urais je tukimtaja mgombea wetu na Dr. Slaa akamuunga mkono sijui mtakunywa sumu
 
994979_265243616960654_1232769514_n.jpg



993476_628799223848819_511373705_n.jpg



1462988_1495113184048044_19835484_n.jpg
1476459_1495113377381358_40530360_n.jpg
1450192_1495155387377157_1063479637_n.jpg
1450185_1495113467381349_1869304246_n.jpg
1450315_628801287181946_550272832_n.jpg
1478988_613771452015965_517396885_n.jpg



Baada ya mkutano wa Slaa Kuvunjia hali ikawa hivi.Polisi wakipambana na wananchi kutuliza Vurugu.
Naomba Mods Picha kama hizi na zile za mabango muziache wananchi wazione kama Mnachanganya basi wekeni kwenye Main post ya mada huzika,sio kuzificha kwenye Comment.Postive and Negative shall be open




Babu Slaa mnafki,Kigoma walimpa kura nyingi za uraisi kushinda hata Kigoma alafu hakwenda hata kuwashukuru,eti leo ndo anadai kuja kuimarisha Uhai wa Chama
 
you guys ebu andamaneni kudai bei ya umeme ishuke au kodi ya SIM kadi.

Wewe ni nani unawapangia cha kuandamania? Wana ratiba ya maandamano na madai yao, leo wameanza na kuitaka chadema kumpa zitto haki zake. Muda utafika watadai mengine ambayo wataona yana umuhimu.
 
Bila kupepesa macho wala kutingisha masikio nasema Dr. Slaa amekwenda kuwachokoza watu wa Kigoma. Huu si wakati muafaka wa kwenda Kigoma wakati kijana wao wanamnyanyapaa kwenye Chama. Tutake tusitake Zuberi Zitto Kabwe ana mashiko Kigoma. Natamani nione Zitto akirudi jimboni kwake kuonana na wananchi wake baada ya hili kasheshe. Hakika nakuambia siku Zitto anatia mguu Kigoma, Kigoma itasimama. Ningekuwa Zitto ningeenda Kigoma mara tu baada ya mkutano huu wa Bunge.

We pu.mbavu bila shaka unatamani uzikwe kaburi(political) moja na zito. Shenzi taipu.
 
ZIto ndio kitu gani mbele ya chadema, hao wananchi malofa kweli kweli. Wakimtaka zito wamchukue wakamweke nyumbani kwao.Chadema hatumtaki kabisa.
 
Najua vizur eneo hilo la kasulu mjin,nshwahi kufka kule

in short kwa mwaka jana zzk,alihutubia kule na moja ya vitu alivyosema ni

muda mrefu alkuwa anawalisha wananch sumu,et aonekane anaonewa chadema

kikubwa CC ya chadema,ilichelewa sana kumwadhibu huyu msaliti
 
Hivi ndugu zangu wa cdm kweli mwanao adhalilishwe kwa kuambiwa ni mhaini alafu hao watu wanakuja hukohuko nyumbani kwa mhaini kama si umbulula ni nini R.I.P CHADOMO
 
Chadema lakuvunda halina ubani kazi inaendelea.

...

..Acha uchochezi wa KIDINI....Tanzania itajengwa na watanzania wenye nia njema!!!

....moderators .. Taswira anastaili ban ya maisha ..angalieni picha ya kwanza hapo juu .aliyo post!!

......Tuitendee Haki JF
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom