Picha: Jamaa Dubai ghafla akutana na Mfalme ndani ya lift

Wahamishie hili lipicha kqenda jamii photo, hapa kwenye Siasa bora muweke la Mkombozi na Baba wa Zanzibar
ugandan-revolutionary-and-selfstyled-field-marshal-john-okello-leader-picture-id1178099505
John Okello!
Hivi mwisho wa Okello ulikuaje baada ya kufurushwa Zenjibar?
 
Sheikh Maktoum inaelekea ni jamaa simple sana. Hata mwezi uliopita ghafla akaingia mgahawani watu wanakula basi full kuomba selfie na jamaa wala hana noma.
Kuna Wazambia alikutana nao njiani wanafanya shopping, akwaambia basi leo jioni tutakula wote, wakajuwa wamealikwa palace yake, kumbe kufika jioni kaja yeye akawachukuwa mgahawa wa kawaida tu akapiga nao msosi akalipa akasepa.

Huyo ni mtu wa watu, mali haijampa kiburi.
 
Back
Top Bottom