Picha inayohusishwa kuwa ni Joshua akiwa katika gwanda za Jeshi la Israel

Israel si sehemu salama miaka na miaka tuache kwenda huko sio kila fursa ni fursa
Kwani hata hapa Tz ni sehemu salama?? Vitendo vya Utekaji wa watu na mauaji ya watu ambao maiti zao zilikuwa zinaokotwa kwenye viroba vilikuwa vinafanyikia wapi kwani??

Remember: "Even Africa is not safe for Africans."
 
Propaganda tu mji aliokuwa anafanyia field umepakana na ukanda wa Gaza sio busara kuleta propaganda wakati tumeshapoteza mtanzania mwenzetu.
 
Vita wamevianza hawa magaidi basi hatuna budi kusema mkong'oto uendelee mpk gaidi la mwisho tupo pamoja na Israel
 
Hvii inakuwaje mtu unaua mwenzio kikatili hivi au kwa sababu mweusi ?hebu fatilien kwa kina huyo kijana ni nani najuta sana kuangalia hiyo video halaf et wanasema Mungu Mkubwa?Mungu huyu huyu anaekataa kuua laa!
Majitu ya mashariki ya Kati ni makatili mnomnomno
 
Tafuta picha za Joshua kisha linganisha na hiyo utapata jawabu
Sihitaji kufanya hivyo kwasababu nimeshaziona mara mbili mbili na kwa makini, hao waliomuua na hao wengine waliosimama pamoja ni watu tofauti na hata aina ya silaha walizonazo ni tofauti (kama una uelewa na mambo ya silaha lakini)
 
Mimi zungumzeni yoote leteni propaganda zoote ila waliomuua Joshua ni waisrael. Halafu haya mambo ya kusema et wao ni wachaguliwa wa Mungu sijui nn ni ujinga tu na hayana maana yoyote. Wale ni wauwaji. Kama sio Leo basi kesho haki kwa wapalestina itapatina tu. Mimi si muislam na Wala Sina ushabiki wa kidini. Ubabe wa marekani na Israel kwa Imani yangu utaendelea lakini wao pia hawatakuja wakae kwa uhuru na amani. Joshua kauwawa na hao hao waisrael.
Video si hiyo
 
Hvii inakuwaje mtu unaua mwenzio kikatili hivi au kwa sababu mweusi ?hebu fatilien kwa kina huyo kijana ni nani najuta sana kuangalia hiyo video halaf et wanasema Mungu Mkubwa?Mungu huyu huyu anaekataa kuua laa!
Hayo mauaji yana makandokando ambayo hata mimi nimeshindwa kuyajua. Hivi Hamas wanaweza kuua huku wakijirekodi na kuonyesha sura zao? Video imepatikanaje? Ni nani amei-publish kwenye social media? Kama ni Israel, hawaoni kuwa ni kumdhalilisha marehemu na familia yake?
 
Back
Top Bottom