Nawe ni mmoja wa "wajinga", au "waumbavu"?Huu nao ni ujinga, ni mara ya kwanza viongozi wa kiislamu kuingia kanisani kwenyw ibada maalum?
Kwenye maziko ya Msuma huyo Mama hakuhudhuria ibada ya mazishi kanisani Mwanga? Vipi ibada ya mazishi ya Lowasa Luthe house hakuwepo?
Tuache ujinga ujinga, halafu hapo kwa Mwamposa hiyo ni Ministry huduma na siyo Church Kanisa.
Huduma ni kwa ajili ya watu wa dini zote wanafuata uponyonyaji, nenda leo kwa Mwamposa utawakuta waislamu kibao mpaka kutoka Comoro wanafuata uponyaji.
Mimi ninakuweka kwa hao waumbavu.