PICHA inaongea mengi

PICHA inaongea mengi

Huyo Mmoja ni Chriss nimesoma nae Same Boys, probably atakua hapo mambo Ya IT, Soft Designs n stuff.
 
Hili ni tukio tofauti, ni ibada ya kuweka wakfu kanisa (kuzindua jengo la kanisa) nikumbushe Rais gani (asiye mshirika) aliwahi kufungua na kuweka wakfu kanisa!?
Kama hawakualikwa ulitaka wafungueje?.Rais anaenda kwakualikwa.Tumia kichwa chako vizuri.
 
Back
Top Bottom