PICHA inaongea mengi

PICHA inaongea mengi

Hawa wasaidizi wa Mwamposa Pastor Tonny (suti rangi ya light blue anayecheka) na huyo Mpemba(mwenye suti dark blue na miwani anyetambulishwa na Bulldozer) ni watu wa System na hili limeratibiwa kuunganisha haya makanisa kuelekea Oktoba kukiwa na vuguvugu la Gwajima na baadhi ya Wachungaji/viongozi wa dini na manabii kuwa na muendelezo wa kuikosoa/kuitabiria mabaya Regime ya Samia.

Swali ninalojiuliza Mwamposa pekee itakiwa msingi wa kurudisha Imani ya Wakristo kwa Samia's Regime hasa Makanisa ya Manabii sababu Antony Lusekelo hakuficha alifunguka wazi kuna baadhi yao wanamchukia namba 1 ila ni wachache mnoo ukilinganisha na idadi ya wanao mkubali.
Mwenye suti light blue anacheka cheka sanA

mWanamke hata awe nani zile tabia za kike haziishi,huyu Chura kawa karibu na bulldozer ili kuwatisha kina Gwajima na katoriki wakina Kitima
 
Raisi samia
Binti wa KIISLAM Ametinga mazabahauni???
Ataghafir
Huu nao ni ujinga, ni mara ya kwanza viongozi wa kiislamu kuingia kanisani kwenyw ibada maalum?

Kwenye maziko ya Msuma huyo Mama hakuhudhuria ibada ya mazishi kanisani Mwanga? Vipi ibada ya mazishi ya Lowasa Luthe house hakuwepo?

Tuache ujinga ujinga, halafu hapo kwa Mwamposa hiyo ni Ministry huduma na siyo Church Kanisa.

Huduma ni kwa ajili ya watu wa dini zote wanafuata uponyonyaji, nenda leo kwa Mwamposa utawakuta waislamu kibao mpaka kutoka Comoro wanafuata uponyaji.
 
Raisi samia
Binti wa KIISLAM Ametinga mazabahauni???
Ataghafir
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake. Wake kwa waume na watoto 🙏🏿🙏🏿🙏🏿

Ila tusichanganye dini na siasa! 📌

IMG-20250706-WA0021.jpg

Ivi lile kanisa la Tb joshua bado linafanya kazi na huduma zinatolewa kma alivokua hai?
Nimeuliza tu
 
Huu nao ni ujinga, ni mara ya kwanza viongozi wa kiislamu kuingia kanisani kwenyw ibada maalum?

Kwenye maziko ya Msuma huyo Mama hakuhudhuria ibada ya mazishi kanisani Mwanga? Vipi ibada ya mazishi ya Lowasa Luthe house hakuwepo?

Tuache ujinga ujinga, halafu hapo kwa Mwamposa hiyo ni Ministry huduma na siyo Church Kanisa.

Huduma ni kwa ajili ya watu wa dini zote wanafuata uponyonyaji, nenda leo kwa Mwamposa utawakuta waislamu kibao mpaka kutoka Comoro wanafuata uponyaji.
Hili ni tukio tofauti, ni ibada ya kuweka wakfu kanisa (kuzindua jengo la kanisa) nikumbushe Rais gani (asiye mshirika) aliwahi kufungua na kuweka wakfu kanisa!?
 
Ivi lile kanisa la Tb joshua bado linafanya kazi na huduma zinatolewa kma alivokua hai?
Nimeuliza tu
Hili atajibu yule mtunza kibuyu wetu mnywa mchuzi wa bendera
 
Kama ulimsikia Mwamposa wakati anatoa shukrani kwa walio husika na shughuli hiyo.
Alimtaja Katibu wa Rais, jee ni nani huyo? Atakuwa ni yule ametajwa sana na Maria Sarungi bw.Waziri Salum aka Mr Mapete.
Kwa hiyo kuna chain hapo! Tafakari
Duuh
 
Back
Top Bottom