PICHA inaongea mengi

PICHA inaongea mengi

Muda unaousubiri ni wa kuiba uchaguzi ili Samia na GENGE lenu libaki madarakani bila ridhaa ya wananchi.

Kama unataka "muda uongee", kubalini marekebisho ya kanuni za uchaguzi. Samia akichaguliwa kwa taratibu hizo, mimi nitakuwa mstari wa mbele kabisa kumongeza.
Samia anapotangaza ilani ni muongozo unaoongoza serikali kwa miaka mitano inayofuatia, inagusa maisha mazima ya mtanzania.

Kila kona inaguswa na huko mikoani sekta zote zinaguswa. Hakuna sababu ya kuiba kura ikiwa umeme umeshafikishwa kwa asilimia 90.

Hakuna sababu ya kuiba kura ikiwa maji yanaendelea kusambazwa nchi nzima.

Hakuna sababu ya kuiba kura ikiwa sekta ya anga inaendelea kuifungua nchi nzima.

Kelele za wizi wa kura zinatoka kwa wanaharakati kama kalamu aliyepo JF, Huko mikoani yanapotatuliwa matatizo ya msingi hakuna mtu mwenye muda wa kujadili marekebisho ya kanuni ikiwa yenye kuwahusu yanapata utatuzi wa kudumu.
 
Huu nao ni ujinga, ni mara ya kwanza viongozi wa kiislamu kuingia kanisani kwenyw ibada maalum?

Kwenye maziko ya Msuma huyo Mama hakuhudhuria ibada ya mazishi kanisani Mwanga? Vipi ibada ya mazishi ya Lowasa Luthe house hakuwepo?

Tuache ujinga ujinga, halafu hapo kwa Mwamposa hiyo ni Ministry huduma na siyo Church Kanisa.

Huduma ni kwa ajili ya watu wa dini zote wanafuata uponyonyaji, nenda leo kwa Mwamposa utawakuta waislamu kibao mpaka kutoka Comoro wanafuata uponyaji.
Uongo Leo,
 
Mwenye suti light blue anacheka cheka sanA

mWanamke hata awe nani zile tabia za kike haziishi,huyu Chura kawa karibu na bulldozer ili kuwatisha kina Gwajima na katoriki wakina Kitima
Hapo uanamke wake unahusikaje?
Mbona Yuko karibu na yule wa KKKT?

Kwani lazima awe karibu na RC?
 
Hata zikiwa huru kiasi gani, huwezi kushindana na rais anayekuwepo ikulu ambaye mwaka mzima kwa vitendo anatekeleza ilani inayomuweka madarakani.
Ndiyo maana ni lazima tumuondoe kwa nguvu sasa; kwa sababu GENGE lenu mnalazimisha abaki kwa nguvu.
Kwa hiyo usidanganye waTanzania wanamweka hao kwa kura zao za HAKI.
Ni halali yetu kumwondoa, kwa sababu hana ridhaa ya wananchi.
 
watakwambia wote hao ni teeth...
 
Ndiyo maana ni lazima tumuondoe kwa nguvu sasa; kwa sababu GENGE lenu mnalazimisha abaki kwa nguvu.
Kwa hiyo usidanganye waTanzania wanamweka hao kwa kura zao za HAKI.
Ni halali yetu kumwondoa, kwa sababu hana ridhaa ya wananchi.
Subiri October ndipo utagundua kuwa kundi lenu lina watu wachache wanaoishia kupiga makelele instagram na humu JF.

Subiri October utapata majibu kwa lugha ya wazi na yenye kueleweka.
 
Hawa wasaidizi wa Mwamposa Pastor Tonny (suti rangi ya light blue anayecheka) na huyo Mpemba(mwenye suti dark blue na miwani anyetambulishwa na Bulldozer) ni watu wa System na hili limeratibiwa kuunganisha haya makanisa kuelekea Oktoba kukiwa na vuguvugu la Gwajima na baadhi ya Wachungaji/viongozi wa dini na manabii kuwa na muendelezo wa kuikosoa/kuitabiria mabaya Regime ya Samia.

Swali ninalojiuliza Mwamposa pekee itakiwa msingi wa kurudisha Imani ya Wakristo kwa Samia's Regime hasa Makanisa ya Manabii sababu Antony Lusekelo hakuficha alifunguka wazi kuna baadhi yao wanamchukia namba 1 ila ni wachache mnoo ukilinganisha na idadi ya wanao mkubali.
kama hayo usemayo inkwell, halali nchi hii iwe na utapiamlo kiuchumi
 
Subiri October ndipo utagundua kuwa kundi lenu lina watu wachache wanaoishia kupiga makelele instagram na humu JF.

Subiri October utapata majibu kwa lugha ya wazi na yenye kueleweka.
Kukaa madarakani kwa nguvu, ndiyo iwe "lugha ya wazi na kueleweka"? Nilijuwa akili yako imeharibiwa na utapeli ulio wazi, lakini sikujuwa kuwa nyote mpo desperate kiasi hiki.

Sasa hapa unataka kulazimisha jambo ambalo unajuwa halitakuwepo??

Ndani ya CCM yenyewe mnakuwa na hofu kumpitisha; huku nje ndiyo muone rahisi?
 
Mwamba ni mshirikina haswa, anatokea Songwe kwa kina Lucas Mwashambwa kule kumejaa matapeli tupu na mashirikina
 
Back
Top Bottom