Picha: Hali ya Muhimbili kwa sasa inatisha

Picha: Hali ya Muhimbili kwa sasa inatisha

Dah!!! Hali inatisha sana kusema kweli. Ari mpya nguvu mpya na kasi mpya......Wamejaribu wameweza na sasa wanasonga mbele. Wenyewe wanatibiwa South Africa, India na Europe haiwahusu chochote kile katika kuhakikisha hospitali zetu zinakuwa na hadhi ya kuitwa hospitali.

Kama una roho nyepesi unaweza ukatoa machozi, kwa jinsi mwanadamu mwenzio amelazwa chini pasipo kupata huduma kama vile wapo somalia. Ikiwa madini yetu na wanyama wetu wanapanda ndege na kwenda kunufaisha mataifa mengine. Hii ni wadi ya sewahaji.

Je kwa staili hii tutafika?

------------------------------

attachment.php

attachment.php
 
Either Watanzania wengi ni Wanafiki wakubwa, au washabiki wasio na maana. Hali ya kulala chini ni kawaida sana katika hospitali zetu, hali ya mgobjwa/wagonjwa kutopata matibabu (kwa wakati) ni suala la kawaida, hali ya kupewa majibu ya dharau/kejeli kutoka kwa wafanyakazi wa Afya (kutokana na Workload kubwa) ni jambo lililozoeleka,

Sasa inakuwaje leo hii ndiyo iwe ajabu, ikiwa kuna wakati haya na zaidi ya haya yalisemwa na watu HAO HAO wakachukulia ni maslagi binafsi?
 
Hali iliyokuwepo kabla ya ujio wa Kikwete ilikuwa ni mbaya zaidi ya hiyo.

Huduma zimeboreshwa sana kwa kiasi fulani kuliko ilivyokuwa awali.

Tungependa mleta mada aeleze hiyo ni wodi ipi Muhimbili?
 
Oh my God kila siku naandika hapa umaskini tulionao unatisha
watu wanakuja hapa wanaandika Jk amefungua barabara nyingi for what?
Mkuu bila kusahau ufisadi unaofanywa na maccm hela zilizofichwa nje zingefanya haya mambo
sasa deni la taifa ni trilion 24 na hatuoni kinachofanyika kama sio kiini macho cha barabara
hatuna hospitali, maji safi na salama, shule watoto wanakaa chini hadi leo
God have mercy on us

Unapoona au Unapoambia kuwa nchi masikini huo ndio umasikini wenyewe . Na ndio nchi aliyokabidhiwa Kikwete kutoka kwa Mkapa na mkapa kaitoa kwa Mwinyi na Mwinyi aliipokea kutoka kwa Baba wa Taifa Nyerere. Na sio hospital tu . Hata unapopita mabarabarani wale raia unaopishana nao ile rangi sio yao ni kwamba wamepauka na wengi hawapati mlo kamili. Huo ndio umasikini na umasikini huo utakuta sana sana nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara . Namaanisha hali ya Tanzania haipishani sana na Kenya ,Uganda, Rwanda, Burundi,Congo,Zambia ,Mozambique,Malawi, Sudani, Ethiopia etc.......hali mbaya ya umasikini inaonekana hospital, mashuleni, maofisini, vyuoni,mitaani etc.........ukiweka siasa na kuwadanganya watu unaweza ukasema umasikini huo utaisha baada ya miaka 5 au 10 au akiingia furani au chama furani. Lakini ukweli hali hiyo hadi kuwa afadhali au kuisha kabisa si chini ya miaka 50 au 100 . Umasikini huu wetu ni ukosefu wa Elimu bora. Na huwezi kupata elimu bora kama ni masikini. Na ukikosa Elimu hata uwe na mali vipi hazitakusaidia chochote. Tuache kujidanganya eti tuna madini sijui gas . Hivyo vitu bila elimu ni sawa na hakuna kitu . So tuchape kazi tuache siasa na uongo.
 
Mambo kama haya kuyajadili kisiasa ndio maana yanakuwa vigumu kutatuliwa. Pages tano nimesoma lakini hakuna mchangiaji aliyezungumzia tatizo lilipo. Mjadala umejaa kejeli na mivutano ya kisiasa tu!

Hata hivyo, iwapo mmeamua kujadili kisiasa basi jiulizeni tu ni chama gani kinachoweza lutoa utatuzi wa hali hii na kwa kutumia njia gani?
 
Wenyewe wanasema Padre Slaa na watendaji wake akina Lema, Sugu, Vincent Nyerere,Mbowe etc wataibadilisha hiyo hali hiyo. Hao niliokutajia ndio mawaziri vivuri kwa sasa . Means wakichukua nchi ndio watakuwa mawaziri wetu . Yaani mawaziri wa nchi yetu.
 
Kwahiyo wanaamini kuwa jina ndio lenye uwezo wa kutoa utatuzi au kuna policy shift waliyoahidi hao watu iliyowapa matumaini?

It would be very interesting to discuss health policy yao, ili tuone jinsi inavyoweza kutoa utatuzi...
 
Mambo kama haya kuyajadili kisiasa ndio maana yanakuwa vigumu kutatuliwa. Pages tano nimesoma lakini hakuna mchangiaji aliyezungumzia tatizo lilipo. Mjadala umejaa kejeli na mivutano ya kisiasa tu!

Hata hivyo, iwapo mmeamua kujadili kisiasa basi jiulizeni tu ni chama gani kinachoweza lutoa utatuzi wa hali hii na kwa kutumia njia gani?

Kama unapata buku 7 za Lumumba ni vigumu kukubali reality ya sasa
 
Hali iliyokuwepo kabla ya ujio wa Kikwete ilikuwa ni mbaya zaidi ya hiyo.

Huduma zimeboreshwa sana kwa kiasi fulani kuliko ilivyokuwa awali.

Tungependa mleta mada aeleze hiyo ni wodi ipi Muhimbili?

Really?Ina maana Ustaadh JK ameimprove hali?Mbona bado watu walala chini hopsitali?Hata wajawazito kwenye wodi za akina mama!!
 
Hali iliyokuwepo kabla ya ujio wa Kikwete ilikuwa ni mbaya zaidi ya hiyo.

Huduma zimeboreshwa sana kwa kiasi fulani kuliko ilivyokuwa awali.

Tungependa mleta mada aeleze hiyo ni wodi ipi Muhimbili?

Acha kuandika uongo wewe!!!! Hakuna chochote kilichofanywa na Kikwete kuboresha huduma za afya nchini. Unaishi Tanzania ipi wewe?
 
Mbona Mkuu wa kaya hazungumzii mambo km haya ktk hotuba za mwisho wa mwezi?
 
Hali iliyokuwepo kabla ya ujio wa Kikwete ilikuwa ni mbaya zaidi ya hiyo.

Huduma zimeboreshwa sana kwa kiasi fulani kuliko ilivyokuwa awali.

Tungependa mleta mada aeleze hiyo ni wodi ipi Muhimbili?

Kwahiyo kabla ya Kikwete serekali ilikuwa ya CCM na sasa ni ya MACCM ?
Mbona unapenda/mnapenda kutofautisha hawamu ya Nyerere, mwinyi, mkapa na Kikwete?
sisi tunazungumzia Miaka 50 ya Uhuru ndipo uwezo wenu ulipofikia?
 
Mambo kama haya kuyajadili kisiasa ndio maana yanakuwa vigumu kutatuliwa. Pages tano nimesoma lakini hakuna mchangiaji aliyezungumzia tatizo lilipo. Mjadala umejaa kejeli na mivutano ya kisiasa tu!

Hata hivyo, iwapo mmeamua kujadili kisiasa basi jiulizeni tu ni chama gani kinachoweza lutoa utatuzi wa hali hii na kwa kutumia njia gani?

Acha kudumaza akili yako wewe!!! Kwani wewe si mchangiaji pia hapa kwanini usiandike kile ambacho unadhani kitaleta mabadiliko makubwa katika sekta ya afya na kuondokana na hali mbaya kama hizi picha zinavyoonyesha? Hicho chama kinachoweza kuleta ahueni sasa kinangoja nini miaka yote hii? Unafiki hauna tija kwako wala kwa Taifa.
 
Hapo mwenyewe ndio unajiona umechangiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiia!!!
 
Muhimbili ulikwenda kwa lengo la kupiga picha ua ulikwenda kujitolea kuboresha huduma? Je wagonjwa wamekosa dawa za matibabu?
Nasikia Chadema wakichukua nchi mambo yatakuwa kama mbinguni. mtu ukihitaji sindano unabofya tu kitufe kwwenye face book yako sindano inaingia
 
akili imeshadumaa hiyo kwa kuandika pumba, eti mnajadili kisiasa halafu ulichoandika kimejaa unafiki mtupu. Badilika ukimbie unafiki wa kuandika pumba ambazo zinadumaza akili yako.

Hapo mwenyewe ndio unajiona umechangiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiia!!!
 
Mkuu viongozi wetu wangekuwa wanatibiwa Muhimbili hospitali ingekuwa nzuri. Kwa wao Muhimbili ni sehemu ya ulaji, lakini wakiumwa wanakwenda kutibiwa Ulaya, kuna viongozi wengi tu wakiwa na mafuta au hata tumbo likiuma wanakwenda Ulaya.

Hali hiyo iko pia kwenye shule maana waliowengi watoto wao wansoma Ulaya au kwenye shule nzuri ambazo si za serikali, hali hiyo iko kwenye barabara kwa kuwa wao wana mashangingi mawilimawili, kwa hiyo hawajali barabara.
 
Back
Top Bottom