ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
ndugu yangu tutambue kuwa nchi ishauzwa hii iliyobaki na sie kuuzwa tukiwa ndani yake
Oh my God kila siku naandika hapa umaskini tulionao unatisha
watu wanakuja hapa wanaandika Jk amefungua barabara nyingi for what?
Mkuu bila kusahau ufisadi unaofanywa na maccm hela zilizofichwa nje zingefanya haya mambo
sasa deni la taifa ni trilion 24 na hatuoni kinachofanyika kama sio kiini macho cha barabara
hatuna hospitali, maji safi na salama, shule watoto wanakaa chini hadi leo
God have mercy on us