Picha: Hali ya Muhimbili kwa sasa inatisha

Picha: Hali ya Muhimbili kwa sasa inatisha

na hii ndio hospitali ya rufaa!

Hawa wagonjwa ni wapiga kura wa CCM .Vilaza wa CCM wanatibiwa na kufanyiwa check up Ulaya ,SA etc

Malecela alifanyiwa operation hospital ya Wellington nchini UK.Hii ni private ,hata mtu wa kawaida UK hawezi kufika pale.

Gharama kwa taxpayer wa kitanzania Mungu anajua

Hiyo hospitali ya Wellington gharama kwa siku ni pound 500 sawa na Tzs 1.2 million
 
Watakwambia huu ni 'uchochezi' na kuonesha kiburi, kuifitinisha serikali na wananchi nk, nk, (wana misemo mingi tu) kwa hiyo wewe 'upigwe tu'!

Nipo nagida viroba kwa mama Makoye! Comment yako imenifanya nifikirie haya: nashindwa kunywa castle kwasababu ya ongezeko la bei(kodi) utitiri wa kodi na bado huduma kwenye hospitali ya taifa(f@(k you) ni mbovu. Nitarudi nyumcni na usafiri gani mie, SanLg inaweza kunipeleka MOI, PAMBAAAAF SERIKALI DHAIFU!
 
Timu Lumumba imedhihiri kua kweli ni genge la vichaa, sielewi wanachotetea hapa, and btw utendaji mbaya wa Magamba hauna mafungamano yoyote na CDM. Aisee mtatoka tu 2015, hovio sana nyie, saa ivi weekend nzima hamna umeme, upuzi at best nchi ya ksenge sana hii..eti kuna shirika linauza umeme (giza?) halafu linashindwa kuprovide umeme wa uhakika walau kwa 10% ya watz baada ya maiaka 50 ya uhuru, aisee asavali Kagame awachape..tumechoka bora mchapwe tu!
 
He! Mbona haya ni kawaida kwa Muhimbili!!!! Kwani wewe mgeni na Muhimbili? Isitoshe nadhani hili ni jambo moja ambalo madaktari walililgomea!!!
Kama una roho nyepesi unaweza ukatoa machozi, kwa jinsi mwanadamu mwenzio amelazwa chini pasipo kupata huduma kama vile wapo somalia. Ikiwa madini yetu na wanyama wetu wanapanda ndege na kwenda kunufaisha mataifa mengine. Hii ni wadi ya sewahaji.

Je kwa staili hii tutafika?

------------------------------

attachment.php



attachment.php
 
Ndugu yangu aliwahi kulazwa MOI 2012 baada ya kupata ajali ya gari.Aliwekewa vyuma miguu yote.Ni gharama sana,ilibidi tujikamue hasa(tsh 16,000,000) gharama zote.hadi anatoka.Watanzania wengi tutapoteza maisha kwa kufanya kila kitu siasa.
Hawa pro-CCM wanafanya kejeli JF kwa uhai wa binadamu,kisa 7,000 ya Lumumba.Yana mwisho,nao ni 2015.
 
hii imenigusa sana
1)Tz ndiyo nchi pekee mfanyakazi wa serikali anaweza kumiliki Ndege lakini Serikali haiwezi.
2)Hospital za kisasa lakini serikali haiwezi
3)shule za kisasa ......jamani TUAMKE...
 
Tanziania bila CCM inawezekana. Kuchagua CCM ni kama kujiletea ukoma bila kutaka. Huu kama si upuuzi ni kitu gani, we miaka nenda miaka rudi hali ni ile ile tu na ni miaka 52 sasa toka tupate uhuru bado tu ujinga uko pale pale tena zaidi kwa sasa.
 
Dah!aisee inauma sana wakuu hivi kweli viongozi wetu hawana hata chembe ya huruma jamani.. wakina Mzee Lowasa hizo fedha mnazochangisha huko makansani na misikitini mngesaidia hata kujenga hosptal zingine au kuongeza vitanda na madawa si mngepata thawabu kubwa sana kwa M/Mungu nyie ndugu
 
Mkiwekewa vifaa mnaiba/mnahujumu.....

Halafu mnalaumu serekali, Nyani hakukosea kusema "Miafrika ndivyo tulivyo"
 
Hawa mabilioni ya dawa za kulevya maCCM wanashindwaje kununua vitanda kwa wagonjwa? JK amaamua kuifanya nchi yetu ya kuuza nje mihadarati akishindana na Afghanistan. Shida yake ni vile hataki kutumia mapato ya mihadarati kuleta misha bora kwa kila Mtanzania hasa huduma za afya naelimu.
 
Ukiangalia website ya muhimbili national hospital-photo gallery yuko JK anatembelea ICU,kwa nini hawakumpeleka kwenye wodi ambapo watu wanalala chini?

drjakayakikwete.jpg
 
Jamani hapo ndo MUHIMBILI NATIONAL HOSPITAL ambapo mtanzania anategemea pawe na huduma iliyobora kuliko hospitali nyingine zote nchini?? Mbona hali inatisha sana? Mtanzania atakimbilia wapi??? Madaktari walipogoma na kutaja ukosefu wa vitendea kazi walibezwa, sasa nani atamsemea mgonjwa!!!?
 
Weekend hii nilifanikiwa kupita pande za Muhimbili pale wodi ya Sewahaji. Hali ni mbaya kweli jamani. Wagonjwa wanalala chini isitoshe hivyo vigodoro wanavyolalia utadhani vimeokotwa jalalani. Hali ni mbaya sana na wodi nyingine. Hizo bilioni 6 zilizoliwa kipindi cha Obama zingesaidia kwa kiasi kikubwa sana kuimarisha hali pale muhimbili. Tupunguze mashangingi 100 ya serikalini tuongeze miundombinu na vitendea kazi
 
Akha! acheni lugha nyepes ktk jambo zito(uhai)! Tuseme kaul nzito kama hii-Wazr Mwinyi kazi huwez,ondoka! Inatosha sasa!
 
kumbe ulimboka aliona mbali -- wengi tulimshutumu kutokana na upeo wetu mdogo wa kuchambua mambo. Sasa wanaopata tocha ni wale wale wapiga kura.
 
CCM Oyeeeeeeeeee!!.... unapewa T-shirt ya kijani na kofia ya njano...kazi kwisha!

Alaaa! unataka na matibabu mazuri tena? Acha bwana umesahau baada ya viwalo vya kijani na njano tulikupa na ubwabwa wakati wakampeni ili unipatie kura nami niendelee na mambo yangu...eboo! mbona unalalama?

Kidumu Cha Cha Mapinduzi!
 
Back
Top Bottom