Picha: Hali ya Muhimbili kwa sasa inatisha

Picha: Hali ya Muhimbili kwa sasa inatisha

Mungu kama upo kweli na unawaona hawa jamaa wakiendelea kutuibia raslimali zetu kwa kulindwa na majeshi yetu Mtwara kwa kweli tunasikitika tunakuomba MUNGU ufanye Jambo ili kutuokoa na hali hii. Mungu uliweza kuwavusha wana wa Israeli kutoka utumwani Misri, sasa nasi hatuna cha kusema tunakuomba utuonyeshe jambo moja tu kabla mwaka haujaisha huu, Sasa tumefikishwa mahali ambapo hatuwezi vumiliatena wakati wao wakipanda ndege na kuwapokea wanyang'anyi kwa jina zuri la wawekezaji. EE MUNGU SIKIA KILIO CHETU.

Mungu anamambo mengi sana!Mataifa kama Japan ,South Korea yangetegemea Mungu yasingefika yalipo.
 
Kama mmimi najiita Profesa wa Muhimbili,basi uprofesa wangu ni fake!

Can you imagine Profesa wa Kizungu,atibu mgonjwa analala chini?

Wangegoma kutibu hawa wagonjwa kuishinikiza serikali ifanye la maana
 
Kama una roho nyepesi unaweza ukatoa machozi, kwa jinsi mwanadamu mwenzio amelazwa chini pasipo kupata huduma kama vile wapo somalia. Ikiwa madini yetu na wanyama wetu wanapanda ndege na kwenda kunufaisha mataifa mengine. Hii ni wadi ya sewahaji,je kwa staili hii tutafika?
Wakinunua vitanda watashindwa kununua Landcruiser V8
 
Huyu mgonjwa hata kama alikua apone haraka itamchukua muda
maana lazima apate magonjwa mengine ambukizi
oh where are we? and where are we going?
Kweli madaktari walikuwa na haki ya kugoma
nini kifanyike jamani wadau tufanyeje kujinusuru maana huyu kalala hapa wewe utakuja kesho utalala
ajali kila leo Tz huwezi kujua ya kesho
Sasa chukulia tatizo lake linahitaji upasuaji.
Na madaktari watamchukua na kumfanyia na kumrudisha kwenye kitanda chake.
Imagine kwa hicho kitanda unavokiona, kidonda cha upasuaji kitakuwaje???????
 
Kijana hana la kufanya
amebaki kuwaza tuu jamani tufanye nini tuwaondoe hawa maccm
tuache kulalamika inabidi tuchukue maamuzi magumu
magorofa na barabara ndo viini macho maccm wamevitumia kutuinyesha tunamaendelea

Du wapeni pole sana sio MUHAS tu nenda kcmc mambo hayo hayo. Hali sio nzuri wakuu
 
Ukienda Mwaisela ndo utatamani ulie! Mwaisela pale chini kuanzia kwenye corridor tu unapongia mlangoni, wagonjwa wa Mifupa ndo hulala chini hapo.

Kwa kweli hali Muhimbili inatisha. Kuna jamaa yangu Daktari aliacha kazi akaenda NGO moja, kwa sababu anasema: namnukuu, "nilikuwa napenda sana kazi ya kutibu, lakini kama nipo Muhimbili, hata gauze hamna, dawa hamna, sasa nina tibu nini?? hii si ninaua tu wagonjwa" mwisho wa kunukuu.
 
Wakinunua vitanda watashindwa kununua Landcruiser V8
Kitanda kitakaa wapi hapo kwa mazingira unayoyaona.
Hospitali zetu ni kama Barabara za DSM
ZilijengwA, designed na mkoloni.
Sijui by then DSM population ilikuwa inafika milioni moja!!!
50yrs down the line, population iko +5milion,
Same infrastructure.
Tumethubutu,
Tumeweza,
Tunasonga mbele...
 
Halafu utashangaa tulikuwa na mabilioni yakumpokea Obama mpaka barabara zikapigwa deki!!
 
Kitanda kitakaa wapi hapo kwa mazingira unayoyaona.
Hospitali zetu ni kama Barabara za DSM
ZilijengwA, designed na mkoloni.
Sijui by the DSM population ilikuwa inafika milioni moja!!!
50yrs down the line, population iko +5milion,
Same infrastructure.
Tumethubutu,
Tumeweza,
Tunasonga mbele...
Kweli kabisa ,waliamua kujenga jengo jipya la bunge ili kuendana na mazingira ya ongezeko la wawakilishi /wabunge ,hivyo ni vyema wajenge nyumba mpya dodoma za wabunge na mahekalu mengine Dar kwa ajili ya mawaziri kuliko kujenga majengo mapya ya hospital ...
MUNGU IBARIKI CCM NA VIONGOZI WAKE
 
Mtu kang'olewa kucha na meno kwa kutetea hii hali..So sad 🙁
 
Fedha inajenga barabara zote nchini kwa kiwango cha lami. Kila mkoa hadi mipakani inahakikishiwa kuunganishwa kwa barabara ya lami. Dar es salaam tunajenga flyovers na vibanda morogoro road. Huko Muhi2 watafika baada ya kutekeleza ilani mojawapo ya barabara. Subira yavuta heri tutafika tuu Muhi2 kufua mashuka na kununua Vitanda.
 
Halafu kuna yule daktari mmoja alijaribu kujenga Hospitali masikini, akafa kwa ugonjwa wa Moyo jinsi walivyompa wakati mgumu. This is soooo SAD jamani.
 
Mungu kama upo kweli na unawaona hawa jamaa wakiendelea kutuibia raslimali zetu kwa kulindwa na majeshi yetu Mtwara kwa kweli tunasikitika tunakuomba MUNGU ufanye Jambo ili kutuokoa na hali hii. Mungu uliweza kuwavusha wana wa Israeli kutoka utumwani Misri, sasa nasi hatuna cha kusema tunakuomba utuonyeshe jambo moja tu kabla mwaka haujaisha huu, Sasa tumefikishwa mahali ambapo hatuwezi vumiliatena wakati wao wakipanda ndege na kuwapokea wanyang'anyi kwa jina zuri la wawekezaji. EE MUNGU SIKIA KILIO CHETU.
Awaangamize hapa hapa duniani na kesho mbinguni Amen
 
Mungu kama upo kweli na unawaona hawa jamaa wakiendelea kutuibia raslimali zetu kwa kulindwa na majeshi yetu Mtwara kwa kweli tunasikitika tunakuomba MUNGU ufanye Jambo ili kutuokoa na hali hii. Mungu uliweza kuwavusha wana wa Israeli kutoka utumwani Misri, sasa nasi hatuna cha kusema tunakuomba utuonyeshe jambo moja tu kabla mwaka haujaisha huu, Sasa tumefikishwa mahali ambapo hatuwezi vumiliatena wakati wao wakipanda ndege na kuwapokea wanyang'anyi kwa jina zuri la wawekezaji. EE MUNGU SIKIA KILIO CHETU.

Amin!
Inshallah Mwenyezi Mungu atatusikia kwa hili na siku yaja Tutapata wepesi kwenye matatizo haya.
 
Back
Top Bottom