Haahaa kama hana ndoa kuna shida gani akifundisha wanetu masomo yake kiufasaha? Halafu mbona uzaramuni ndoa zinavunjika pia kama kigezo cha ndoa ni mchuzi mzito? Ndoa ya mwalimu haimuhusu mwanafunzi.Huko shule ndiko mkafundishwa kupika na mengineyo, huyo anaekufundisha kupika shule mwenyewe ndoa imemshinda.