Nyingi zina shida hiyo ya shoti, hata iwe earthed zikianza kuchoka zinakuwa na current leak ,Hizi kitu zilinipiga shot siku moja Iringa sitaki kuzisikia
Hata ufanye installation gani hvo vifude vinashida kwenye heater coil,, zina leak currents zikichoka na wakati fulani hata zikiwa mpyaukiona unapigwa shoti ujue installation mbovu utakufa ukiwa unaoga ndugu Mtanzania
Lakini bado zinaingizwa na kuuzwa madukaniNyingi zina shida hiyo ya shoti, hata iwe earthed zikianza kuchoka zinakuwa na current leak ,
Maji baridi halafu unapigwa na shot , lazima uchanganyikiwe
Ha ha ha.... [emoji38]Mwanaume utaogaje maji ya moto?
Tbs !!!Lakini bado zinaingizwa na kuuzwa madukani
Kiujumla hizo ni cheap za kichina wanaweka na installation ya fundi maiko ndo kabisaa lolote linaweza kukukumba huko bafuni.Hata ufanye installation gani hvo vifude vinashida kwenye heater coil,, zina leak currents zikichoka na wakati fulani hata zikiwa mpya
Hiyo ya kujaza maji kwenye ndoo kabla ya kuoga imekaa poa .Kiujumla hizo ni cheap za kichina wanaweka na installation ya fundi maiko ndo kabisaa lolote linaweza kukukumba huko bafuni.
Ukiiona omba ndoo yako jaza maji oga.
Sehemu za baridi mwambie muhudumu alete maji moto unamtip kidogo tu ya mboga.
Unaokoka
😂Mwanaume wa dar labda sio mfindi
Anapasha kendeMwanaume utaogaje maji ya moto?
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Mara ya kwanza naingia Arusha nikakakuta kwenye shower 🚿 ndani ya guest moja hapo town , nikawa naoga huku macho yanakaangalia 🙄🙄, sabuni nikagoma kupakaa usoni ili niwe tayari tayari kikiwaka....😳😳😳
🤣 🤣 🤣 Huu uzi ni una vituko sanaNje ya mada:nliwahi kojolea waya waumeme kipindi Niko form 2,nilitoka moshi mwili mzima,ila tangu wakati huo mkuyenge ni kazi kazi
dah, pole sanaNje ya mada:nliwahi kojolea waya waumeme kipindi Niko form 2,nilitoka moshi mwili mzima,ila tangu wakati huo mkuyenge ni kazi kazi
Unaweza ukapigwa shoti ukiwa bafuni hadi unaiona Dunia chungu
Haka kadude noma sana one day kalinimaliza stim ya kula mbususu sio poa niliiona mbigu kabisa
Watu wanalalamika sana, ukienda mikoa yenye baridi kama Kilimanjaro, Mbeya, Iringa huko bila maji moto huogi sasa ndio ukakute haka utalia
USSR
View attachment 2614491