Picha: Electric shower itatumaliza, serikali itolee ufafanuzi

Picha: Electric shower itatumaliza, serikali itolee ufafanuzi

Unaweza ukapigwa shoti ukiwa bafuni hadi unaiona Dunia chungu

Haka kadude noma sana one day kalinimaliza stim ya kula mbususu sio poa niliiona mbigu kabisa

Watu wanalalamika sana, ukienda mikoa yenye baridi kama Kilimanjaro, Mbeya, Iringa huko bila maji moto huogi sasa ndio ukakute haka utalia

USSR

View attachment 2614491
Asante mkuu. Sitaki hata kuisikia hii kitu. HATARI Kwa binadamu kabisa! Yaani mpaka mixer zinakuwa na shoti!
 
Hata hivi vya kuflash/kutawazia viangaliwe kuna ukiminya tu kina presha kama pipe la songas.
Kilichowai kunipata kwenye tundu la kutolea uchafu sitasahau
Hahahahaha 😅🤣😂
Niko hoi Kwa kucheka. Walionizunguka wameniona mwehu kama Simba Sports. Hahahahaha
 
Nina miaka zaidi ya 15 sijaoga maji moto! Basi tu maamuzi, kumbe Kuna hatari nimeikwepa
Inategemea unaishi au mizunguko yako unapita wapi na wapi.
Njombe au makete pande hizo ukioga maji baridi we kidume
 
Unaweza ukapigwa shoti ukiwa bafuni hadi unaiona Dunia chungu

Haka kadude noma sana one day kalinimaliza stim ya kula mbususu sio poa niliiona mbigu kabisa

Watu wanalalamika sana, ukienda mikoa yenye baridi kama Kilimanjaro, Mbeya, Iringa huko bila maji moto huogi sasa ndio ukakute haka utalia

USSR

View attachment 2614491
Mbona viko sawa tu.
Serikali inahusikaje hapo..
Fundi wako asiwe wa mtaani tu.
Mimi nimetumia zaidi ya miaka minne bila shida yoyote.
 
Mimi ninayo hiyo mwaka wa 3 sasa ila nahisi element kama imekufa hivi coz haipashi maji yakawa ya moto sana yanakuwa vuguvugu tu, wadau wanasema inatengenezeka.

Tatizo linakuwa ni kutokuifunga vizuri mpaka inasababisha shoti au tatizo ni nini...?
Sawasawa 👍
 
Problem solved tumia hiyo
20230509_190419.jpg
 
Mimi ninayo hiyo mwaka wa 3 sasa ila nahisi element kama imekufa hivi coz haipashi maji yakawa ya moto sana yanakuwa vuguvugu tu, wadau wanasema inatengenezeka.

Tatizo linakuwa ni kutokuifunga vizuri mpaka inasababisha shoti au tatizo ni nini...?
Sio kifaa kizuri kutumia katika mifumo ya plastic pipes sababu earthing inakua haifanyi kazi kwenye circuit. Ikiwa hivyo ikitokea leakage kwenye element maji yanakuja na current mpaka kwa muogaji bila circuit breaker kujizima

Endelea kutumia tu kama bomba zako ni za chuma na zimeunganishwa na earthing iliyo nzuri inayojaribiwa mara kwa mara, tofauti na hapo ifungue hata leo hii
 
Afadhali hako ka electric shower mimi hako chini kwenye picha kaliniunguzaga marinda nilipokuwa Sweden wakati wa Winter. Nilijisahau nikaweka kwenye moto yani rinda iliungua balaa utadhani furnace.View attachment 2614532

View attachment 2614534
Malinda yako yanapata wakat mgumu sana

Presha+joto la hayo maji na hapo hatujui ugumu wa hicho unachokitoa

Nayapa pole mno wallah
JamiiForums790734876.jpg
 
Hata ufanye installation gani hvo vifude vinashida kwenye heater coil,, zina leak currents zikichoka na wakati fulani hata zikiwa mpya
hapana mkuu, labda kama unanunua cheap na fundi ni cheap hapo sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom