Picha: Electric shower itatumaliza, serikali itolee ufafanuzi

Picha: Electric shower itatumaliza, serikali itolee ufafanuzi

hiz ni chinese made, chini ni disposable, non-repairable, tafuta heater za uturuki
hutakaa usikie ujinga ujinga huo tena
True. Hata za america ya kusini kama vile Brazil ni nzuri pia. Tatizo kubwa ni wiring za nyumba pamoja na hivyo vifaa kufungwa na mafundi wuchwara wa umeme na kutofanya check up ya hivyo vifaa na mfumo wa umeme kwa ujumla.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom