t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,148
- 17,040
Fundi anakoseaje ,? Kuna waya tatu tu za kufunga kwenye hizo heater, live ,neutral na earth ,hapana mkuu, labda kama unanunua cheap na fundi ni cheap hapo sawa
Fundi anakoseaje ,? Kuna waya tatu tu za kufunga kwenye hizo heater, live ,neutral na earth ,hapana mkuu, labda kama unanunua cheap na fundi ni cheap hapo sawa
Wacha ikumalize maana wewe ni sukuma gang....Sukuma gang hawana thamani ya kuwa watuUnaweza ukapigwa shoti ukiwa bafuni hadi unaiona Dunia chungu
Haka kadude noma sana one day kalinimaliza stim ya kula mbususu sio poa niliiona mbigu kabisa
Watu wanalalamika sana, ukienda mikoa yenye baridi kama Kilimanjaro, Mbeya, Iringa huko bila maji moto huogi sasa ndio ukakute haka utalia
USSR
View attachment 2614491
Sio kifaa kizuri kutumia katika mifumo ya plastic pipes sababu earthing inakua haifanyi kazi kwenye circuit. Ikiwa hivyo ikitokea leakage kwenye element maji yanakuja na current mpaka kwa muogaji bila circuit breaker kujizima
Endelea kutumia tu kama bomba zako ni za chuma na zimeunganishwa na earthing iliyo nzuri inayojaribiwa mara kwa mara, tofauti na hapo ifungue hata leo hii
Unajaribu kutumia ohms meter, na kama huna unaweza tumia ku contact live terminal na earth terminal, ikiwa circuit breaker yako (ELCB) inafanya kazi ipasavyo itazima. Isipozima jibu huna active earthingBomba iliyotoka ukutani inayoshikilia hiyo heater ni ya chuma kiongozi.
Na earthing inajaribiwaje mara kwa mara mkuu...?
leakage labdaFundi anakoseaje ,? Kuna waya tatu tu za kufunga kwenye hizo heater, live ,neutral na earth ,
Unajaribu kutumia ohms meter, na kama huna unaweza tumia ku contact live terminal na earth terminal, ikiwa circuit breaker yako (ELCB) inafanya kazi ipasavyo itazima. Isipozima jibu huna active earthing
Ungefia gesti chooni halafu uchi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1544][emoji1550]Unaweza ukapigwa shoti ukiwa bafuni hadi unaiona Dunia chungu
Haka kadude noma sana one day kalinimaliza stim ya kula mbususu sio poa niliiona mbigu kabisa
Watu wanalalamika sana, ukienda mikoa yenye baridi kama Kilimanjaro, Mbeya, Iringa huko bila maji moto huogi sasa ndio ukakute haka utalia
USSR
View attachment 2614491
Wengi wanafunga za Bei rahisi za kichinaMimi ninayo hiyo mwaka wa 3 sasa ila nahisi element kama imekufa hivi coz haipashi maji yakawa ya moto sana yanakuwa vuguvugu tu, wadau wanasema inatengenezeka.
Tatizo linakuwa ni kutokuifunga vizuri mpaka inasababisha shoti au tatizo ni nini...?
Wengi wanafunga za Bei rahisi za kichina
Mimi niliacha kutumia mwaka juzi baada ya taarifa ya mtu kupigwa na short ya umemeUnaweza ukapigwa shoti ukiwa bafuni hadi unaiona Dunia chungu
Haka kadude noma sana one day kalinimaliza stim ya kula mbususu sio poa niliiona mbigu kabisa
Watu wanalalamika sana, ukienda mikoa yenye baridi kama Kilimanjaro, Mbeya, Iringa huko bila maji moto huogi sasa ndio ukakute haka utalia
USSR
View attachment 2614491
Tronic the bestNatumai inaweza ikawa ni moja ya tatizo, vipi kuhusu Tronics au Africab products zao zikoje mkuu...?
Kwanza za siku tele bro...!
Kwani akioga anapungua kitu mwilini? Au ndio misemo ya kimaskini tuMwanaume utaogaje maji ya moto?
NgirimajiMwanaume utaogaje maji ya moto?
Hili swala wala serikali halihusiki ni wew tu ..... komaa na wahudumu wakupe maji ya moto cyo lazma utumie hiyoUnaweza ukapigwa shoti ukiwa bafuni hadi unaiona Dunia chungu
Haka kadude noma sana one day kalinimaliza stim ya kula mbususu sio poa niliiona mbigu kabisa
Watu wanalalamika sana, ukienda mikoa yenye baridi kama Kilimanjaro, Mbeya, Iringa huko bila maji moto huogi sasa ndio ukakute haka utalia
USSR
View attachment 2614491
Atakuja kufa kifala kwa kujiona shujaa kwenye mambo yanayohitaji reasoning.Kwani akioga anapungua kitu mwilini? Au ndio misemo ya kimaskini tu
Unaweza jipa hata naimonia alafu ukaanza kuhangaikia dawa wakati maji kuchemsha ni dakika tano tuAtakuja kufa kifala kwa kujiona shujaa kwenye mambo yanayohitaji reasoning.
Mimi nilikua najifanya mbishi naoga maji baridi tena yaliyolala nikiwa sehemu za baridi kali. Wakati mmoja nimetoka huko niliporudi Dar.....ITAENDELEA.
hizo ni chinese made, ni disposable, non-repairable, tafuta heater za uturukiMimi ninayo hiyo mwaka wa 3 sasa ila nahisi element kama imekufa hivi coz haipashi maji yakawa ya moto sana yanakuwa vuguvugu tu, wadau wanasema inatengenezeka.
Tatizo linakuwa ni kutokuifunga vizuri mpaka inasababisha shoti au tatizo ni nini...?
Ndugu yangu siku moja sijui ikawaje ujuaji mwingi karudi redio hii vp?Nje ya mada:nliwahi kojolea waya waumeme kipindi Niko form 2,nilitoka moshi mwili mzima,ila tangu wakati huo mkuyenge ni kazi kazi