Picha: Electric shower itatumaliza, serikali itolee ufafanuzi

Unaweza ukapigwa shoti ukiwa bafuni hadi unaiona Dunia chungu

Haka kadude noma sana one day kalinimaliza stim ya kula mbususu sio poa niliiona mbigu kabisa

Watu wanalalamika sana , ukienda mikoa yenye baridi kama Kilimanjaro, Mbeya,Iringa huko bila maji moto huogi sasa ndio ukakute haka utalia

USSR View attachment 2614491
Hizi kitu zilinipiga shot siku moja Iringa sitaki kuzisikia
 
Umewahi kufika Njombe? Hii kauli yako utaifuta
Nimekaa kule na ilikuwa naoga maji ya baridi, nimekaa West Kilimanajaro kote huko naoga ya baridi, nimekaa Ngorongoro still naoga maji ya baridi, watu wananishangaaga sana, ila sijawahi oga maji ya moto. Niliko taja kuna baridi la kufa mtu hio mwezi wa 6 ba 7 hapo
 
Ukiona watu wanakushangaa ujue unafanya jambo la ajabu.
 
Nimekaa kule na ilikuwa naoga maji ya baridi, nimekaa West Kilimanajaro kote huko naoga ya baridi, nimekaa Ngorongoro still naoga maji ya baridi, watu wananishangaaga sana, ila sijawahi oga maji ya moto. Niliko taja kuna baridi la kufa mtu hio mwezi wa 6 ba 7 hapo
Ni kwamba unajitesa tu hakuna ushujaa kuoga maji ya baridi sehemu kama jombe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom