Picha: CHADEMA Mbeya leo, itifaki ya ulinzi imezingatiwa

Picha: CHADEMA Mbeya leo, itifaki ya ulinzi imezingatiwa

Si bora huku kuku wanachinjwa na wengine wanaambulia miguu kuliko huko mpaka mgeni aje
Acha kujidanganya wewe! Maisha ya vijana wengi walio huko Mbeya ni bora maradufu kuliko walio Dar. Hata takwimu za sensa ya kitaifa zinaonyesha hivyo, ndio maana wa Dar wengi kutokana na ugumu wa maisha wanaweza kuhadaika kirahisi.
 
Nilipoona maafande wa CDM 4600 kule Shinyanga niliamini CHADEMA imejiandaa kuchukua nchi.
 
HAI kwa MBOWE uchaguzi uliopita wameshindwa vibaya,kwa Slaa KARATU wameshindwa vibaya sana.Sasa wanataka kuwaingiza,Choo cha kike Mbeya.na watachemsha,
 
HAI kwa MBOWE uchaguzi uliopita wameshindwa vibaya,kwa Slaa KARATU wameshindwa vibaya sana.Sasa wanataka kuwaingiza,Choo cha kike Mbeya.na watachemsha,

Naweka kumbukumbu sawa ukiona mtu anapayuka kama wewe kapime tezi jike
 
Kwahiyo kuvaa makoti makubwa na mamiwani meusi ndio ukomavu , chadema kweli MNA akili ndogo. Sura zote Hapo zimekaa kilevi Levi tu
 
Wao kazi yao kuvaa makoti makubwa na mamiwani meusi wenzao makao makuu ufipa wanatumbua ruzuku ya chama na mahawara Dubai.
 
Eti makamanda,na hapo wamepewa Bangi 2 waknywa na kiroba ndo kabsaaa. Kwel chadema n taasisi ya wahun! Waknywa na vroba ndo hapo wanapo2mwa na kurusha mabom kuuwa wa2 then wawacngzie police.
 
Likipigwa moja la kutolea chozi wanatoka nduki wote!

Km ungekuwa unaishi mbeya na ukashuhudia figisu la polisi na vijana wa mbeya usinge sema hivo,hawa jamaa wa mbeya ni balaa,nimeshuhudia kasheshe lao na mapongo ni balaa jamaa ni manunda kweli kweli,c wanawake wala wanaume wote wabishi balaa
 
Back
Top Bottom