Picha: CHADEMA Mbeya leo, itifaki ya ulinzi imezingatiwa

Picha: CHADEMA Mbeya leo, itifaki ya ulinzi imezingatiwa

Njaa haina baunsa. Wakipewa 10,000/= kila mtu wote wanapotelea kwenda kunywa gongo.
 
Haki ya nani kidumu chama cha majambawazi!! Hii mimi siishabikii kwa kweli, sasa wanavaa ma-nini hayo? Na kwa nini tutumie mabaunsa?

avatar242125_2.gif
 
Tatizo mnasumbuliwa na ushamba mkiletewa chopa mnatoka mpaka vyooni kwenda kushangaa na watu ndipo wanapopatia ruzuku.

umasikini uliosababishwa na utawala wa chama tawala ndio unaosabisha watu kushangaa sio chopa tu hata bodaboda.
 
Back
Top Bottom