Picha: CHADEMA Mbeya leo, itifaki ya ulinzi imezingatiwa

Picha: CHADEMA Mbeya leo, itifaki ya ulinzi imezingatiwa

Wao kazi yao kuvaa makoti makubwa na mamiwani meusi wenzao makao makuu ufipa wanatumbua ruzuku ya chama na mahawara Dubai.

Wakiondoka Hapo waliposimama utakuta karatasi za viroba zimezagaa chini.

Kwahiyo kuvaa makoti makubwa na mamiwani meusi ndio ukomavu , chadema kweli MNA akili ndogo. Sura zote Hapo zimekaa kilevi Levi tu

hujui hats unalialia nini? watulioko kwenye siasa Sikh nyingi tunajua nchi inaendaje..
miaka kumi iliyopita iikuwa ukiona polisi unatafuta pa kupita Leo polisi na mabomu yao tuwesha wazoea..ukitaka kujua mziki Wa paka mfungie chumbani kisha uanze kumpiga...
hivi unajua vituo vya polisi vilivyoporwa wapolaji walienda na rungu....
 
nikukumbushe matukio mawili
1. Wanajeshi walishindwa kuupandisha mwenge mlima kilimanjaro wanywa viroba wakaupandisha jiulize kwanini.
2. Polisi walishindwa kutoa miili ya watu waliokufa mererani wanywa viroba wakaiambia serikali tulieteeni Bangi tuifanye hii kazi, kazi ikafanyika jiulize kwanini..
3... swali LA ziada wanywa viroba walimfanya mini Gadaffi...Kijana acha dharau Kwa watu waliochoka na huu usenge wa serikali ya CCM Sikh wakiamua hakuna watakachoshindwa. mmarangu
 
Last edited by a moderator:
Wao kazi yao kuvaa makoti makubwa na mamiwani meusi wenzao makao makuu ufipa wanatumbua ruzuku ya chama na mahawara Dubai.
umenikumbusha ya lumumba, vidampa vinatetea mafisadi waliokwapua milioni 1600 huku vikiambulia buku saba haa haa kweli umasikini ni tabu.
 
nikukumbushe matukio mawili
1. Wanajeshi walishindwa kuupandisha mwenge mlima kilimanjaro wanywa viroba wakaupandisha jiulize kwanini.
2. Polisi walishindwa kutoa miili ya watu waliokufa mererani wanywa viroba wakaiambia serikali tulieteeni Bangi tuifanye hii kazi, kazi ikafanyika jiulize kwanini..
3... swali LA ziada wanywa viroba walimfanya mini Gadaffi...Kijana acha dharau Kwa watu waliochoka na huu usenge wa serikali ya CCM Sikh wakiamua hakuna watakachoshindwa. mmarangu

Mkuu crashwise kwa muda uliokaa chadema kukipigia chapuo haswaa nasary ungefanya ujasirimali ungekuwa mbali sana kimaendeleo.

Hawa vijana wengi wao ni waendesha bodaboda hata makoti yao yanadhihirisha ni ya kujikinga na upepo wanapomkia abiria.ndio mnawaita red bridged ni kuwapotezea muda Hapo wakati hawalipwi hata kumi.

Kajiunge mtandao Wa vijana meru ufanye maendeleo yako binafsi.
 
Last edited by a moderator:
Mkutano unafanyika wapi? Nikiimaanisha uwanja utakapofanyikia
 
Ni jambo jema. Ila ningeshauri wawe na dress code ya aina moja. Na pia sioni haja sana ya kofia za Mizula kwani asilimia kubwa ya Tanzania ni joto. Kofia za cap au barret zinatosha. Watapendeza tu.
 
ImageUploadedByJamiiForums1424588648.949949.jpg
Wenzetu wameunda Jeshi wanajiandaa na vita. Nadhani wanampango wa kuingia msituni.
ACT tunaimiza Uzalendo,Uwazi,Uwajibikaji,uadilifu,Utu,Usawa,Hifadhi ya jamii,umoja wa Afrika,demokrasia rasilimali,Kujitegemea,Bidii na Weledi katika kazi.
 
Hujielewi Wewe! Unaifahamu Green Guard Wewe? Blue Guard? Na Red Brigade Je? Unapenda Tu Kupotosha Kitu.
 
Unatafuta comments kinguvu na dhani yangu itakua ya mwisho. Maana sidhani kama kuna mwenye akil mwingine atakuja kuchangia hapa.
 
Endeleeni kukata mauno ya ccm, Mbung'o nyie eti tunhimiza uzalendo, uwajibikaji na nini sijui... pambafu....!!!!!

Uzalendo unaimbwa katika misingi ya UTAPELI NA USALITI..? Acha kujiabisha wewe.... Jeshi unalifahamu wewe? Mbona hukuja kuimba hizo nyimbo zako siku ccm wanapiga gwaride la kijeshi pale songea?? Watu wengine bwana...!!!

Ulaaniwe kwa kuniharibia kwaresma.

BACK TANGANYIKA
 
wasomi wa fani ya utabibu tafadhali fanyeni tafiti, idadi ya vichaa inaongezeka sana Tanganyika
 
Mkuu crashwise kwa muda uliokaa chadema kukipigia chapuo haswaa nasary ungefanya ujasirimali ungekuwa mbali sana kimaendeleo.

Hawa vijana wengi wao ni waendesha bodaboda hata makoti yao yanadhihirisha ni ya kujikinga na upepo wanapomkia abiria.ndio mnawaita red bridged ni kuwapotezea muda Hapo wakati hawalipwi hata kumi.

Kajiunge mtandao Wa vijana meru ufanye maendeleo yako binafsi.

kwa hiyo unataka kusema hao vijana wahamie kwenye mtandao wa meru ili wa wezeshwe...
 
Back
Top Bottom