Picha: CHADEMA Mbeya leo, itifaki ya ulinzi imezingatiwa

Picha: CHADEMA Mbeya leo, itifaki ya ulinzi imezingatiwa

Niko mbeya hapa nasubiri mkutano wa wanywa gongo kwa fujo

uzuri wa kura nni kwamba zote zina hadhi sawa ndani ya sanduku la kura bila kujali hii imepigwa na rais,waziri,mbunge,prof,dr,mnywa gongo,mvuta bangi,askofu,sheikh,malaya au mtu wa ainayoyote kura thamani yake ni sawa
 
Hilo ni jeshi la chadema au??? Wasije wakaanza ku-recruit wahitimu wa jkt.
 
Mbona hao walinzi wanaonekana wamelewa sana? Wamekunywa nini?
 
hawa ndio warusha mabomu ndio maana wameficha nyuso zao, polisi wakamateni hawa majambazi lps

Teteteeeee.....wamekutisha sio! Police wawakamate kwa kosa gani? CCM na polisi utafikiri Baba na mtoto......mtajipima mwaka huu....mmemanza tutamalizia...
 
Kulinda kura ni sawa lakini kama tume ya uchaguzi ikitangaza washindi feki wa CCM wameshinda kwa kura moja na kulindimisha mabomu, je sisi wananchi wenye hasira kali tufanyeje?
 
Back
Top Bottom