Picha: CHADEMA Mbeya leo, itifaki ya ulinzi imezingatiwa

Picha: CHADEMA Mbeya leo, itifaki ya ulinzi imezingatiwa

Serikali Imeombwa Kupiga Marufuku Uingizwaji wa pombe aina ya Viroba Maana Wataalamu wa Maswala ya Vilevi na hadhali zake Wanasema ni Janga la Kitaifa kwa sasa, hata under 18 ni watumiaji wakuu.

polee taasisi hizo hizo za serikali ndio kinara wa uuzajwi wa hizo pombe za viroba tena kwa bei rahisi sana... mfano police canteen, bar za kijeshi n.k
 
Ndugu zangu wa Tanzania.
Vikundi hivi vya CCM,CUF,CDMA havifai hata kidogo.
Japo kimtazamo ni matokeo ya chama tawala kulitumia jeshi kwa upande mmoja.
Rwanda ilikuwa nivikunfi hivivi na matokeyake ndiyo woote tume yaona.
Naumia sana na huu mfumo wa vikundi vikundi at mara grean brgd mara red brgd na majina mengi mengi. Watanzania tusi shabikie hivi vitu.
Na jeshi lapolisi litoe tamko na hakikisho la ulinzi ulio sawa kwa watu na vyama vyoote
 
Safi sana cdm , wakati wao wanahangaika na mapango yenye ngedere , sisi tunalinda raia .
 
Muone yule jamaa aliyesimama juu ya ukuta! Yaani hawa jamaa wako kikomavu hasa kuliko Policcm, ni vile tu policcm wanaback-up ya serikali jizi!
 
Ni mbaya sana taifa kuwa na majeshi kama haya. CCM hivi wote hamna akili hata hamjui majukumu yenu mmekubali haya yote yatokee kisa hamjui kubadilika na upepo. TISS vipii, mbona haya yanatokea nyie mpo tu.
 
TISS ilikuwa wakati wa Nyerere.kwa sasa ukienda TISS utakuta watu wa ccm , Chadema, cuf, na wa mtu mmoja mmoja.
 
Ebhaneeh ccm leteni zenu fyokofyoko kudadeki, Midume inahasira hata tabasamu haijui ni mdudu gani...!!!

Then likatize litumbo flani na minguo yake ya kijani...!!!! aiseeeeehh Ccm Tafuteni kwa kukimbilia. Mtamjua Sugu hasa kwamba ni MUHUNI aliyekubuhu nyambafu zenu...

BACK TANGANYIKA
 
Mkuu TISSS wako bize na kiongozi wa wale vijana wa JKT.
Wacha wamelize hilo soo kwanza
TISS ilikuwa wakati wa Nyerere.kwa sasa ukienda TISS utakuta watu wa ccm , Chadema, cuf, na wa mtu mmoja mmoja.
 
Mkuu TISSS wako bize na kiongozi wa wale vijana wa JKT.
Wacha wamelize hilo soo kwanza

Taifa halina kiongozi. Kipindi cha Nyerere angewakubalia na kupokea maandamano ya wapiganaji wetu na kutao maamuzi kwa usalama wa Taifa , lakini huyu aliyepo uwezo huo hana. Nchi inateseka kwa miaka karibu kumi inauma sana.
 
Back
Top Bottom