Picha: CHADEMA Mbeya leo, itifaki ya ulinzi imezingatiwa

Picha: CHADEMA Mbeya leo, itifaki ya ulinzi imezingatiwa

Chadema Diaspora

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2010
Posts
480
Reaction score
644
Mbeya1.jpg
Mbeya3.jpg

Mbeya2.jpg
 

Attachments

  • Mbeya.jpg
    Mbeya.jpg
    9.7 KB · Views: 2,508
Niko mbeya hapa nasubiri mkutano wa wanywa gongo kwa fujo
 
Hii Itakuwa Mtu na Mtu hadi Kieleweke. Hii Ndio Njia sahihi ya Upinzani Kuzilinda Kura zao zote, na Kuzuia uingizwaji wa masanduku yaliyopigiwa kura Majumbani mwa MaCCM.

Vijana wa JKT waliotelekezwa badala ya Kuandamana kwenda Ikulu, basi hii ndio fursa pekee itakayoweza kuwatoa maana kuna uwezekano wa kuwa-integrated kwenye Vyombo vya ulinzi ndani ya Serikali ya UKAWA baada ya Kuifanikisha kazi ya kuzilinda kura na ushindi wa kimbunga hapo October'2015.

Kwa style hii basi ni ukweli usiopingika ya kwamba nchi Inaenda kupata Ukombozi wa kweli toka kwa mkoloni Mweusi ( CCM).
 
hawa ndio warusha mabomu ndio maana wameficha nyuso zao, polisi wakamateni hawa majambazi lps
 
Huu ulinzi hatutaki kuona polisi wa ccm hapo
 
Hizi ndo hasara za kunywa gongo asubuhi.


Serikali Imeombwa Kupiga Marufuku Uingizwaji wa pombe aina ya Viroba Maana Wataalamu wa Maswala ya Vilevi na athali zake Wanasema ni Janga la Kitaifa kwa sasa, hata under 18 ni watumiaji wakuu.
 
Likipigwa moja la kutolea chozi wanatoka nduki wote!

Hakuna anayeogopa tena hayo mabomu yenu labda mkawapige wale vijana wahuni wa Uvccm wanapigana kwenye vikao kila wakikutana.
 
Likipigwa moja la kutolea chozi wanatoka nduki wote!

Ndo kitu pekee mnachowaza na kutegemea kwa sasa.Hayo ya machozi mbona hamkupiga pale kwenye sherehe za CCM.Kwa wale makomando wa UVCCM waliokua wamevaa yeboyebo?
 
Back
Top Bottom