moblaze
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 231
- 27
- Mpiganaji Ben, sawa sawa nimekusikia sana tupo pamoja mkuu wangu!
William @Dodoma City.
wile, nakuheshimu sana lakini I do have doubts!
leo uko dom.. kweli siasa mchezo mchafu. done!
- Mpiganaji Ben, sawa sawa nimekusikia sana tupo pamoja mkuu wangu!
William @Dodoma City.
Absolutely !
Pia mimi kitu ninachopingana nacho ni fast tracking.Tuimarishe mifumo ya kisiasa na kiuchumi ndani ya nchi zetu.Kuna hii phobia kati ya Kenya and the rest of member states ambayo haina maana kama tukiwa makini na kutumia potentials zetu kiuchumi na kibiashara
For example,the USA isn't any better than Canada even though 70% of Canadian companies are owned by Americans (The Canadians got good deals before the NAFTA) American companies in Canada are nationalized economically not operationally pre and post NAFTA. Mexico is also on the rise thanks to NAFTA.Inagawa US inamuona Canada kama potentiala partner Kuliko Mexico
Ni lazima tuangalie hata mataifa dhaifu kiuchumi na kisiasa (deadbeat) na kuangalia fursa tutakazopata kwa kushirikiana nao.Hapa ni profit na national interest on board and EAC interest at large!
Protecting the deadbeat nations economically while encouraging companies from "responsible" ones to invest there is the only way Unions can work. Having the big nations enjoy free market by dumping products in a deadbeat nation is a crime!
Economically, EAC nations need their economical independence before being merged.Kenya or Tanzania (by fully exploring her resources) will basically over run the rest of EAC nations economically which to me is a case of feeding the monkey on your back till it grows into a gorilla and bellys you, Unless every nation in the union are productively capable of competing with the others, EAC will become nations of predator anf prey
Same happened to Greece, their market was opened to EU, their local manufacturers went obsolete and their debt rose to anarchy!!
So each nation needs to grow independently though assisting dependence with reciprocity should be encouraged, The moment the platform for interference becomes political, War on East African scale is inevitable!
Unless, a company from Tanzania operating Kenya,Rwanda etc (EAC) becomes nationalized in Rwanda, etc (EAC), The smaller nations will keep feeding the GDP of bigger nations. Which will have negative Socio cultural effects, and lead to War on a East African scale!
The only way EAC can be successful isn't by issuing biometric EAC travel passports, It is by ensuring the growth of smaller nations and the growth stability of bigger nations while economically creating platforms for interference, Political, Social, Cultural interference should be independent of EAC doings I.e not imposed but a product of me going to Rwanda and bringing some aspects of their culture to Tanzania etc, Just like how Tanzania swahili is spreading across East Africa in regardless of Political or economic coercion
Inavyoonekana Mh. Nassari atatoa kura yake kwa William Malecela kwa Ubunge wa East Africa
Malecela kafika Nyumbani kaanza kujitangaza Vizuri
Watanzania wengi tuna maradhi ya Ukosefu wa Elimu ya Uraia!
Samahani ndugu kwa kwenda nje ya mada ila yule afande hapo mkono wa kulia anaonekana kachoka sana karibia adodoke!
Ben I somehow agree kuwa we need to be careful lakini siioni fast track kama ni tatizo if at all watu wetu watatumia short comings za EU, NAFTA kama lessons learnt. Tukifanya copy paste work ndipo hapo tutakapo jichanganya lakini hizi worries ambazo zina kuzwa bila objectivity ndizo zinazo nishangaza. Ukumbuke kuwa challenges ama opportunities za EU hazifanani na zetu na hata hivyo kwa hali ilivyo kama Europe isingeungana hali za baadhi ya nchi zingekuwa mbaya perhaps kuliko ilivyo kwa sasa. Kama mchumi nadhani unajua kuwa si kaeli nchi moja itakuwa ina fanana na nyingine hata kuifanya hiyo isiwe na cha kuizidi nyingine; lakini pia as small countries kwenye uchumi wa dunia kuna dis-advantage nyingi kuliko advantages.
Ipi bora basi? tutawaliwe na mataifa ya nje ki uchumi ama to join effort ili tushirikiane sisi kwa sisi kujenga economy ya region yetu? Ni ajabu hii mentality tuliyonayo ya kupenda kuwa karibisha watu wa mabara mengine huku tukiwaogopa hawa ambao kwa asili tunafanana na tunaweza kushirikiana kirhaisi zaidi kuliko hao tulio wabatiza majina mazuri mazuri kama ya wawekezaji, wafadhili etc na hao wengine yale mabaya mabaya kama ...wanatamani ardhi yetu what a bad attitude and inferior mind? Charity begins at home kama tunaalika investors bora tuanze na ushirika wa majirani ndipo tuende huko mbali!
Naona wengi hawamjui huyu Ben, kifupi hana cheo chochote ndani ya CDM ni ujanja ujanja tu wa mjini, alijaribu kugombea Uenyekiti BAVICHA akataka kuingiza u-radical wake ndani ya chama wazee wakamwondoa, kifupi hatakiwi ndani ya chama anajipendekeza tu kwa sifa za JF.
Chadema ni wabuguz Habibu Mchange walimuondoa kwa kashfa za uzush Eti katoa rushwa ambao ushahidi haujapatikana,leo mbunge wa EAC WANATULETEA MAJINA YAO KOMU HIVI HAKUNA MAJINA mengne wapiganaji ni wengi,au hichi chama ni cha watu fulani?
Albedo, nikukumbushe hotuba ya Mh. Mbowe aliyoitoa kwenye mkutano wa Arusha NMC juzi baada ya hukumu ya Lema kama ulikuwepo alisema nanukuu 'Wakati umefika wa kuwatambua wasaliti ambao tunao humu humu, si kila unayemuona na sema PEOPLES POWER ni mwenzetu' mwisho wa kunukuu. Kuhusu mimi kama ni CDM au si CDM hiyo ni wewe uta judge na kuhusu Ben kuitwa haini si Quinine anamuita aliitwa na wazee waliomwengua.Relax Mkuu Maisha yenyewe Mafupi utakufa kwa Presure. Nyote Mnajenga Nyumba Moja ya nini kunyan'ganyana Fito? Sidhani kama Ben amekuwa Mtu wa Kwanza kuenguliwa katika Uchaguzi, na Sidhani kama kuenguliwa katika Uchaguzi kunamfanya mtu awe Mhaini. Mkuu Ben anaonekana anaongea vitu substance sana sasa nachelea kuamini kama kweli wewe ni CDM au ni CCM aka Gamba. Ben is against CCM and you are against Ben then who you are?
Mkuu Relax siasa ni Maisha wote tutapita tutaicha kama ilivyo wako wapi akina Bibi Titi, wako wapi akina Nyerere n.k? Mkuu Uchaguzi wa Bavicha ulishafanyika waliochaguliwa wamechaguliwa na sasa wanajenga chama mtu yeyote kwa namna yeyote anayejaribu kulumbanisha watu anapaswa kufungwa jiwe shingoni na Atupwe Baharini. Mkuu Watanzania wanataka CDM iliyo Pamoja na kwa hakika watu kama ninyi wenye Visasi hamfai katika safari hii ya Ukombozi maana mtaichelewesha badala ya kushambulia Adui nyinyi mko busy kushambulia your fellows wanajeshi.
Yaliypita si ndwele tugange yajayo mtu ambaye hawezi kusamehe hafai hata Kuongoza Familia yake
Mkuu Albedo, unapomtetea mtu lazima kwanza kuna some facts unatakiwa ukubaline nazo, Ben alituhumiwa kutaka kuivunja katiba ya chama, right? kuvunja katiba ni uhaini, right? katika nchi nyingi adhabu ya mhaini kifo au kuwekwa detention kama Aboud Jumbe. Kichama uhaini au usaliti adhabu yake ni kufukuzwa chama. These are some of the facts.Relax Mkuu Maisha yenyewe Mafupi utakufa kwa Presure. Nyote Mnajenga Nyumba Moja ya nini kunyan'ganyana Fito? Sidhani kama Ben amekuwa Mtu wa Kwanza kuenguliwa katika Uchaguzi, na Sidhani kama kuenguliwa katika Uchaguzi kunamfanya mtu awe Mhaini. Mkuu Ben anaonekana anaongea vitu substance sana sasa nachelea kuamini kama kweli wewe ni CDM au ni CCM aka Gamba. Ben is against CCM and you are against Ben then who you are?
Mkuu Relax siasa ni Maisha wote tutapita tutaicha kama ilivyo wako wapi akina Bibi Titi, wako wapi akina Nyerere n.k? Mkuu Uchaguzi wa Bavicha ulishafanyika waliochaguliwa wamechaguliwa na sasa wanajenga chama mtu yeyote kwa namna yeyote anayejaribu kulumbanisha watu anapaswa kufungwa jiwe shingoni na Atupwe Baharini. Mkuu Watanzania wanataka CDM iliyo Pamoja na kwa hakika watu kama ninyi wenye Visasi hamfai katika safari hii ya Ukombozi maana mtaichelewesha badala ya kushambulia Adui nyinyi mko busy kushambulia your fellows wanajeshi.
Yaliypita si ndwele tugange yajayo mtu ambaye hawezi kusamehe hafai hata Kuongoza Familia yake
Mkuu Albedo, unapomtetea mtu lazima kwanza kuna some facts unatakiwa ukubaline nazo, Ben alituhumiwa kutaka kuivunja katiba ya chama, right? kuvunja katiba ni uhaini, right? katika nchi nyingi adhabu ya mhaini kifo au kuwekwa detention kama Aboud Jumbe. Kichama uhaini au usaliti adhabu yake ni kufukuzwa chama. These are some of the facts.
In any case Ben has to come clean from the fact kwamba alitaka kuvunja katiba, kuwaita wanaompinga majina ya ajabu ajabu Haters, Hillarious hakutamjenga badala yake ndio anafanya issue izidi kuenea. Na chama kinapata muda wa kumjua ni mtu wa aina gani.
Leo CDM kimekuwa chama kikubwa si cha kusambaratishwa kirahisi kwa mbinu zilizotumika kuisambaratisha NCCR-Mageuzi. Kina mbinu nyingi za kuwajua wasaliti wake. Chukulia kitendo cha kufukuzwa Mwigamba na watu wakaanza kulalamika akiwemo Ben kuwa ndani ya CDM hakuna demokrasia. Mimi nilichukulia kwa mtazamo mwingine kabisa, inawezekana ni mpango wa CDM kuwajua walio upande fulani..it is my guess. kwa hiyo ukijiingiza kichwa kichwa kuanza kusupport bila kufanya utafiti unaweza kujikuta umeingia kwenye mtego wao.
Albedo, nikukumbushe hotuba ya Mh. Mbowe aliyoitoa kwenye mkutano wa Arusha NMC juzi baada ya hukumu ya Lema kama ulikuwepo alisema nanukuu 'Wakati umefika wa kuwatambua wasaliti ambao tunao humu humu, si kila unayemuona na sema PEOPLES POWER ni mwenzetu' mwisho wa kunukuu. Kuhusu mimi kama ni CDM au si CDM hiyo ni wewe uta judge na kuhusu Ben kuitwa haini si Quinine anamuita aliitwa na wazee waliomwengua.
Mkuu Albedo, unapomtetea mtu lazima kwanza kuna some facts unatakiwa ukubaline nazo, Ben alituhumiwa kutaka kuivunja katiba ya chama, right? kuvunja katiba ni uhaini, right? katika nchi nyingi adhabu ya mhaini kifo au kuwekwa detention kama Aboud Jumbe. Kichama uhaini au usaliti adhabu yake ni kufukuzwa chama. These are some of the facts.
In any case Ben has to come clean from the fact kwamba alitaka kuvunja katiba, kuwaita wanaompinga majina ya ajabu ajabu Haters, Hillarious hakutamjenga badala yake ndio anafanya issue izidi kuenea. Na chama kinapata muda wa kumjua ni mtu wa aina gani.
Leo CDM kimekuwa chama kikubwa si cha kusambaratishwa kirahisi kwa mbinu zilizotumika kuisambaratisha NCCR-Mageuzi. Kina mbinu nyingi za kuwajua wasaliti wake. Chukulia kitendo cha kufukuzwa Mwigamba na watu wakaanza kulalamika akiwemo Ben kuwa ndani ya CDM hakuna demokrasia. Mimi nilichukulia kwa mtazamo mwingine kabisa, inawezekana ni mpango wa CDM kuwajua walio upande fulani..it is my guess. kwa hiyo ukijiingiza kichwa kichwa kuanza kusupport bila kufanya utafiti unaweza kujikuta umeingia kwenye mtego wao.
Mkuu sidhani kama data zako ni sahihi, kwa kumbukumbu zangu somo la Civics lilianza kufundishwa mashuleni kuanzia mwaka 1993, na kwa hakika kipindi hicho huyu bwana tayari alishaanza kubeba mabox New York.
Ben I somehow agree kuwa we need to be careful lakini siioni fast track kama ni tatizo if at all watu wetu watatumia short comings za EU, NAFTA kama lessons learnt. Tukifanya copy paste work ndipo hapo tutakapo jichanganya lakini hizi worries ambazo zina kuzwa bila objectivity ndizo zinazo nishangaza. Ukumbuke kuwa challenges ama opportunities za EU hazifanani na zetu na hata hivyo kwa hali ilivyo kama Europe isingeungana hali za baadhi ya nchi zingekuwa mbaya perhaps kuliko ilivyo kwa sasa. Kama mchumi nadhani unajua kuwa si kaeli nchi moja itakuwa ina fanana na nyingine hata kuifanya hiyo isiwe na cha kuizidi nyingine; lakini pia as small countries kwenye uchumi wa dunia kuna dis-advantage nyingi kuliko advantages.
Ipi bora basi? tutawaliwe na mataifa ya nje ki uchumi ama to join effort ili tushirikiane sisi kwa sisi kujenga economy ya region yetu? Ni ajabu hii mentality tuliyonayo ya kupenda kuwa karibisha watu wa mabara mengine huku tukiwaogopa hawa ambao kwa asili tunafanana na tunaweza kushirikiana kirhaisi zaidi kuliko hao tulio wabatiza majina mazuri mazuri kama ya wawekezaji, wafadhili etc na hao wengine yale mabaya mabaya kama ...wanatamani ardhi yetu what a bad attitude and inferior mind? Charity begins at home kama tunaalika investors bora tuanze na ushirika wa majirani ndipo tuende huko mbali!
Mhaini wa katiba ya CDM kama wewe sahau post yeyote CDM.