PICHA: Bungeni Nassari na William Malecela... Sasa Malecela atapata kura ya Nassari?

534984_3760168641992_1209820481_33740687_751021859_n.jpg



Inavyoonekana Mh. Nassari atatoa kura yake kwa William Malecela kwa Ubunge wa East Africa

Malecela kafika Nyumbani kaanza kujitangaza Vizuri


Le Mutus, hilo li suti ni baya, over size na halieleweki!! Najua hizi ndiyo mbinu za kambi yenu, kujifananisha na hali ya wananchi il-hali wizi mtupu!!!

Anyways hongera, kwa huko ulikofika.
 
Ben I somehow agree kuwa we need to be careful lakini siioni fast track kama ni tatizo if at all watu wetu watatumia short comings za EU, NAFTA kama lessons learnt. Tukifanya copy paste work ndipo hapo tutakapo jichanganya lakini hizi worries ambazo zina kuzwa bila objectivity ndizo zinazo nishangaza. Ukumbuke kuwa challenges ama opportunities za EU hazifanani na zetu na hata hivyo kwa hali ilivyo kama Europe isingeungana hali za baadhi ya nchi zingekuwa mbaya perhaps kuliko ilivyo kwa sasa. Kama mchumi nadhani unajua kuwa si kaeli nchi moja itakuwa ina fanana na nyingine hata kuifanya hiyo isiwe na cha kuizidi nyingine; lakini pia as small countries kwenye uchumi wa dunia kuna dis-advantage nyingi kuliko advantages.

Ipi bora basi? tutawaliwe na mataifa ya nje ki uchumi ama to join effort ili tushirikiane sisi kwa sisi kujenga economy ya region yetu? Ni ajabu hii mentality tuliyonayo ya kupenda kuwa karibisha watu wa mabara mengine huku tukiwaogopa hawa ambao kwa asili tunafanana na tunaweza kushirikiana kirhaisi zaidi kuliko hao tulio wabatiza majina mazuri mazuri kama ya wawekezaji, wafadhili etc na hao wengine yale mabaya mabaya kama ...wanatamani ardhi yetu what a bad attitude and inferior mind? Charity begins at home kama tunaalika investors bora tuanze na ushirika wa majirani ndipo tuende huko mbali!

Hoja zako ni nzuri kama tusingekuwa na tatizo la msingi la uongozi dhaifu, mbumbumbu kwenye maslahi ya kitaifa na wachumia tumbo.

Inanitia hofu viongozi wetu hawana mkakati wa wazi na makini ambao tunaweza kuunga mkono kwa pamoja. Ardhi ni issue kwa zaidi ya 80% ya watanzania tunaoishi kwa matumaini kuwa one day yes tutakuwa na viongozi makini waliopatikana kwa ridhaa yetu.

SIKATI TAMAA LAKINI THE WAY THINGS ARE GOING WE ARE AT A BIG DISADANTAGE ACTUALY AT THE PUNISHMENT END.

Usisome thread tu get into the mind of the writer, his fears and analysis and get the glimpse of his point of view JUST DONT BRUSH IT
 
Hoja zako ni nzuri kama tusingekuwa na tatizo la msingi la uongozi dhaifu, mbumbumbu kwenye maslahi ya kitaifa na wachumia tumbo.

Inanitia hofu viongozi wetu hawana mkakati wa wazi na makini ambao tunaweza kuunga mkono kwa pamoja. Ardhi ni issue kwa zaidi ya 80% ya watanzania tunaoishi kwa matumaini kuwa one day yes tutakuwa na viongozi makini waliopatikana kwa ridhaa yetu.

SIKATI TAMAA LAKINI THE WAY THINGS ARE GOING WE ARE AT A BIG DISADANTAGE ACTUALY AT THE PUNISHMENT END.

Usisome thread tu get into the mind of the writer, his fears and analysis and get the glimpse of his point of view JUST DONT BRUSH IT

Mimibaba,

Ni kweli viongozi wetu bado hawaonyeshi aggressiveness yoyote katika mchakato huu.tataizo hapa ni kwamba hatuangalii long term.Sisi ni watu wa short term na quick fixing

But from what I know, the problem with the Euro is that you've tied some very fiscally responsible and strong countries (led by Germany, the Netherlands, Belgium, a few other northern European countries, to some fiscally irresponsible and weak countries (Greece, Italy, Portugal, Spain, basically the Southern European countries).

In EAC (and Africa more generally), we are all largely similarly undeveloped and fiscally irresponsible, I suppose? So perhaps a common currency will work out better.But not so soon,that's why i object the idea of fast tracking

The Euro is a pretty good idea, but it sort of requires countries that are sort of similar. Not responsible and frugal countries tied to profligate ones without institutional frame work

However Madame Ame(the poster above),is right somehow.Thank God we are seeing the flaws of the EU so we are in a position not to make the same mistake of a single currency that is not backed up by a single political entity.

I think we can pull it off in EAC, and it may work out pretty well.Tujiandae kama taiafa sasa....Tuna advantage kubwa kuliko hata haya mataifa mengine

Wacha nisikilize interview ya Ms.Ngozi Okonjo-Iweala mwanamama wa Waziri wa Fedha wa Nigeria.mkuu,Kama unaweza kuwa kwenye position tune Alja-zeera Tv. Candidate katika urais wa World Bank
 
Froida,
Hawa tutaenda nao hivyo hivyo tu.....Bahati Nzuri chama kina watu werevu.Mawazo mazuri chama kinayapokea na kuyafanyia kazi.Hawa haters hapa ni glucose katika mbio zetu za farasi



Absolutely !

Pia mimi kitu ninachopingana nacho ni fast tracking.Tuimarishe mifumo ya kisiasa na kiuchumi ndani ya nchi zetu.Kuna hii phobia kati ya Kenya and the rest of member states ambayo haina maana kama tukiwa makini na kutumia potentials zetu kiuchumi na kibiashara

For example,the USA isn't any better than Canada even though 70% of Canadian companies are owned by Americans (The Canadians got good deals before the NAFTA) American companies in Canada are nationalized economically not operationally pre and post NAFTA. Mexico is also on the rise thanks to NAFTA.Inagawa US inamuona Canada kama potentiala partner Kuliko Mexico

Ni lazima tuangalie hata mataifa dhaifu kiuchumi na kisiasa (deadbeat) na kuangalia fursa tutakazopata kwa kushirikiana nao.Hapa ni profit na national interest on board and EAC interest at large!

Protecting the deadbeat nations economically while encouraging companies from "responsible" ones to invest there is the only way Unions can work. Having the big nations enjoy free market by dumping products in a deadbeat nation is a crime!

Economically, EAC nations need their economical independence before being merged.Kenya or Tanzania (by fully exploring her resources) will basically over run the rest of EAC nations economically which to me is a case of feeding the monkey on your back till it grows into a gorilla and bellys you, Unless every nation in the union are productively capable of competing with the others, EAC will become nations of predator anf prey

Same happened to Greece, their market was opened to EU, their local manufacturers went obsolete and their debt rose to anarchy!!

So each nation needs to grow independently though assisting dependence with reciprocity should be encouraged, The moment the platform for interference becomes political, War on East African scale is inevitable!

Unless, a company from Tanzania operating Kenya,Rwanda etc (EAC) becomes nationalized in Rwanda, etc (EAC), The smaller nations will keep feeding the GDP of bigger nations. Which will have negative Socio cultural effects, and lead to War on a East African scale!

The only way EAC can be successful isn't by issuing biometric EAC travel passports, It is by ensuring the growth of smaller nations and the growth stability of bigger nations while economically creating platforms for interference, Political, Social, Cultural interference should be independent of EAC doings I.e not imposed but a product of me going to Rwanda and bringing some aspects of their culture to Tanzania etc, Just like how Tanzania swahili is spreading across East Africa in regardless of Political or economic coercion

Well presented, I like it!
 
Thanks Madame Ame,

Suala la kufanya fast tracking bila kuweka taasisi zetu muhimu sawa ni hatari.Ukiangalia hata investment policy yetu ilituletea madhara makubwa katika utekelezaji kwa sababu tuliburuzwa na mfumo wa dunia na wanasiasa wetu uchwara wakafuata mkumbo.it was too bad,nadhani hata wewe kama Mwanauchumi unalielewa hili

Hapo kwenye Red na Blue: ofcourse,other countries have benefited heavily from the EU. Estonia and Latvia are two example. Poland is another.

Greece has had the chance to borrow money at lower rates due to being part of the EU. Didn't it have the same credit rating as Germany until recently? ofcourse aint making it out as if the primary beneficiary of the EU was the rich countries, the poorer European countries also benefited quite a bit.

Nasapoti idea ya kuungana kuunda Trade union/economic block in the region.Regional Bloc mean tariff is gone and your market is open to others

The benefit of Regional intergration is for "responsible" economies not to implode. Yes, If for exapmle China has huge production base but huge tariff on their products which make them equal to that of locally made ones will mean less export and companies in China will be forced to open up production bases offshore but imagine a trade pact/cooperation between China and EU will benefit who the most? Regional intergration/trade cooperation etc mean I don't have to improve your economy to export my products, Such is the case of over running smaller nations

We should put our house in order,prepare our core institutions to accomodate the fruits and vices of regional intergration.


Mkuu niombe radhi bwana mm niwe madam tena?.....Aise! Umeharibu kabisa siku yangu.
 
Mkuu niombe radhi bwana mm niwe madam tena?.....Aise! Umeharibu kabisa siku yangu.


Loh...i'm so sorry mkuu wangu.Nilikosea nilitaka kuweka madame/sir nikajikuta nime-omit moja mkuu.Please accept my apology!
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Back
Top Bottom