Picha: Baada ya Mnyika kukoswa na bomu mkutano unaendelea

Picha: Baada ya Mnyika kukoswa na bomu mkutano unaendelea

kwani huko Ubungo hawatoshi mpaka mjaze malori watu kutoka sehemu zingine ili mkutano uonekane umefurika? yaleyale ya Arusha wanaokufa na kuumia si wakazi wa eneo hilo,naona Mnyika naye alitakaka kutengeneza filam yake
Nilikuwepo Mabibo
Sahara wakuu Bomu limelipuliwa na Police aliyekuwa kwenye Landcruiser
wakati Mnyika akiwa hapo hapo akiongea na Mapolice hao. Nilikuwa jirani
kabisa. Nitaweka Picha baadae maana baada ya Police kukataa mkutano
usifanyike Sahara tumeamia Ubungo mataa na Mkutano ni mkubwa balaaa.
Kweli CCM mmeishiwa.
 
Bomu kwa sindano ya tetenasi....duh hii kali
 
Mnyika si mtu wa demokrasia na ana mambo ya kitoto mimi si muungi mkono hata kidogo mambo ya bunge yakaishe bu
 
kwani huko Ubungo hawatoshi mpaka mjaze malori watu kutoka sehemu zingine ili mkutano uonekane umefurika? yaleyale ya Arusha wanaokufa na kuumia si wakazi wa eneo hilo,naona Mnyika naye alitakaka kutengeneza filam yake
Duh, Tanzania tuna kazi kubwa mbele yetu...na huyu Ngoshanyi naye yuko JF! Kweli CCM imedumaza watu fikra!

Untitled-11.jpg
...hadi akina mama hawajitambui!
​
 
Bomu limepigwa na mkutano unaendelea, hili linawezekanaje?
Kifarutz;Tunaanza milipuko ya mabomu na mauaji taratibu! Hii inatisha. Hawa askari wanafanyia majaribio ya silaha kwenye miili yetu, au aliyekabidhiwa silaha hazimtoshi kuchwani.
 
Bomu kwa sindano ya tetenasi....duh hii kali
Kwani bomu limetengenezwa kwa kutumia upepo au maji katika mfuko wa Rambo? Kwani sindano ya tetenasi inatumika kwa magonjwa yanayotokana na nini? Kama kuna vipande vya mabati au chuma ambavyo vilitumika kulitengeza hilo bomu, unadhani sindano ya tetenasi haifai?
 
Baada ya kuona wameweka kauzibe....nikaamua kusepa....kumbe Mnyika alivyoondoka vile kwa mguu na vijana kama kumi na mbili alikuwa anaenda kuwasha moto.....i missed it jamani!
 
Dakika zinayoyoma kuelekea 2015 Mnyika utavuna propaganda unazopandikiza
 
The day is coming, when people will not affraid of Bombs and instead, they shall run towards them...that will be the end of foolishness so call peace in absolute poverty of most Tanzania....HAKUNA AMANI ITAKAYODUMU KWENYE NJAA NA SHIDA KAMA HIZI....SIKU YAJA...NA HATA HAIKO MBALI...!!!
 
Magamba nayo yalivuliwa na Mnyika aliwapa kadi ya cdm.
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    335.4 KB · Views: 80
  • image.jpg
    image.jpg
    295.7 KB · Views: 75
  • image.jpg
    image.jpg
    373.2 KB · Views: 84
  • image.jpg
    image.jpg
    360.2 KB · Views: 84
Back
Top Bottom