FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,819
nachekesha nini hata kama dunia ni kijiji mbona majinga yako yanataka tuyape mkanda wa bomu walilorusha arusha? wangetambua hilo unalosema mama wasingerusha mabomu.ukimbizi unikimbii mimi unakimbia dhiki iliyosababishwa na baba zako miccm na ndio maana uanasema mgao huko alberta sijui aupo lakini hawa jamaa zako wametusababishia migao ya kufa mtu hapa bongo kibaya zaidi wananyonya damu maiti(TANESCO) kuichanja 10%
Aliyekusabishia migao ni Nyerere na vibaraka wake aliowaachia nchi, Kikwete anabadili hilo na ushahidi mpaka mBarack Hussein Obama kautangaza, hujui hilo? kuna Mikataba ya kufua na kusambaa umeme zaidi ya aliyoifanya Kikwete toka nchi hii ipate Uhuru? Mikataba itayozalisha zaidi ya MW 3,000 imesha sainiwa na imeshaanza, uko wapi wewe?