Picha: Baada ya Mnyika kukoswa na bomu mkutano unaendelea

Picha: Baada ya Mnyika kukoswa na bomu mkutano unaendelea

Elimu nijambo la msingi sana, jeshi letu lina vijana wengi waliofeli awajui hata haki za binadamu ila saa ya ukombozi imetimia wengi tutateswa,tutakufa lkn ndo ukombozi wa ukweli Oh!!! Lord be with us.
 
heheheh kweli kama kulikuwa na bunduki ila sijaona wakifyatua hivi kama wangefyatua na watzd waoga hivyo pangeendela na mkutano watzd milio ya bunduki wanaona kwenye video tu jamani jamani ebu tupeni sera za maaana
 
Just show me Black and White, where it is written to attend political rally or to demonstrate is crime or against the law?

Keep on going and do not comeback and blame anyone else except yourself. They are rallies to attend but not those of thugs.
 
attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

Eti CCM inawaita watu wote hawa WAHUNI!?Kweli CCM mmelewa madaraka,na 2015 tutawauliza nyie so ndo mlituita sie wahuni!SUBIRINI!
 
mnyika jamani utakufa mdomo wazi mbona mie nilikuwapo sahara sijaona bomu jamani jamani chadema nawapendini ila kwa kutunga nambali one kama ccm chadema mjipanga vizuri mnachukua nchi ila mkijikoroga hampati mtambualia vurugu ebu jifunzeni kwa wakenya sembuse Tanzania waoga

Ukute eti wewe ni ofwiswa wa uchalama uko kazini...! Aibu gani hii ndio maana Kagame anamtukana bosi wenu!
 
Keep on going and do not comeback and blame anyone else except yourself. They are rallies to attend but not those of thugs.

We mwanamke uko sawasawa?? Kunya anye kuku akinya bata kaarisha. Kuwaita watanzania wenzako thugs kwa kutekeleza haki yao ya kikatiba unaonyesha umbumbumbu na ukosefu wa uzalendo, hii nchi ni yetu sote sio ya kikundi fulani.
 
Then you should keep on going to the thuggery rallies and do not blame anyone else but Yourself since it does not need an Einstein to know those rallies are never trouble free.
 
Keep on going and do not comeback and blame anyone else except yourself. They are rallies to attend but not those of thugs.
Who is thugs? Gang of thugs can get registered? who issues registration? If thugs get registration definitely it comes from STUPI D government. Therefore, Mnyika and Sugu said are right
 
mnyika bana...ati alitaka kuuliwa kwa bomu ... uongo mwengine wa kitoto sana :help:

Ndio chadema walivyo waongo! Wanaomba kura kwa kumwaga damu za watu ili serikali ichukiwe! Ipo siku Mungu atawafichua tu wanafiki hawa!
 
Who is thugs? Gang of thugs can get registered? who issues registration? If thugs get registration definitely it comes from STUPI D government. Therefore, Mnyika and Sugu said are right

Talking about Sugu? how can you separate thuggery with him? what does Sugu means? Think!
 
Kwa -------- si tusi ni sifa, kwa hiyo wewe ni --------?
Sifa hupewa na watu kutokana na hoja zako, mfano mpaka sasa hivi umeshindwa kuniambia maandamano au mikutano ni against Tanzanian's law. Utashindwa kuthibitisha CDM ni Thugs na walipataje registration? kama utashindwa kutoa jibu la kisheria nasi hii sifa ni yako
 
  • Thanks
Reactions: Pai
Bomu limepigwa na mkutano unaendelea, hili linawezekanaje?

chadema wana akili sana waliomba vibari viwili wakijua labda mambo haya yatatoke, walivyokuwa mabibo ndio utata huu wa bomu ukatoke, then tukaamia uwanja mwingine ubungo mataa Yenu Bar... kwenye kibali ambacho akijaingiliwa.
 
Talking about Sugu? how can you separate thuggery with him? what does Sugu means? Think!
I don't have to think about his name, let us go back to the key point "Who is thugs? Gang of thugs can get registered? who issues registration? If thugs get registration definitely it comes from STUPI D government, do you agree?"
 
Mkuu kuhusu Mnyika kukoswa koswa na bomu ambalo lilimpata kamanda mwingine na kumsababashia mshituko mtoto mdogo aliekimbizwa hospitalini kama ilivyofanyika kwa kamanda mtu mzima,ni jambo la ukweli maana mimi nilikuwepo eneo la tukio na nilishuhudia tukio hilo,na polisi waliokuwa kwenye gari hiloambapo mlipuaji ea bomu hilo alikueapo alikiri kuwa ni bahati mbaya,haikuwa bahati mbaya maana ealiksudia.lkn hatukuogopa na tukasonga mbele na mkutano tukafanyia Ubungo.
 
Makamanda nyuso zimejaa furaha na matumaini Chama kubwa CHADEMA ndo tumaini la Mtanzania

Waache na mabomu yao kama watatumaliza!
 
I don't have to think about his name, let us go back to the key point "Who is thugs? Gang of thugs can get registered? who issues registration? If thugs get registration definitely it comes from STUPI D government, do you agree?"

Those who registered are no longer there. Can you name one whom is still there?
 
Back
Top Bottom