Picha: Baada ya Mnyika kukoswa na bomu mkutano unaendelea

Picha: Baada ya Mnyika kukoswa na bomu mkutano unaendelea

uploadfromtaptalk1374419211084.jpg
tumbo kutoka makao makuu akiongea. anaaema tumefukuzwa mabibo sababu makamu wa rais yupo kawe. hii haikubariki. mia
 
uploadfromtaptalk1374419303054.jpg
mwenyekiti wa wilaya ya ilala ccm aliye jounha chadema. ni msomi. anaitwa mayrose kavula maginge. mia
 
mnyika bana...ati alitaka kuuliwa kwa bomu ... uongo mwengine wa kitoto sana :help:

Nakwambia hawa wanatuletea movie ya Toy Story, Mbowe eti alikoswa na Bomu, risasi za SMG, risasi za bastola. Wananchekesha!
 
Pole kamanda Mnyika, MUNGU ni mwema ndo maana kakunusuru nahawa wahafidhina wa ccm..kitaeleweka tuu..
 
uploadfromtaptalk1374419530234.jpg
huyu ni rodrick mtembeka amabaye amejiunga chadema leo na kumkabidhi kadi ua ccm mnyika na mnyika kumpa kadi ya chadema.uploadfromtaptalk1374419635567.jpguploadfromtaptalk1374419657207.jpg
huyu ni uploadfromtaptalk1374419692344.jpg
huyu ni john wilson ambaye alikua mjumbe wa nyumba kumi wa ccm kaja na kadi za ccm. rodrique alikua mjumbe wa nyumba 10 ccm pale sinza. anasema leo anashusha bendela ya ccm na kupandisha ya chadema. mia
 
Viroba punguzen jaman huu ni mwez m2kufu,hiv kungepgwa bomu kwel huo mkutano ungeendelea kwel
 
Nakwambia hawa wanatuletea movie ya Toy Story, Mbowe eti alikoswa na Bomu, risasi za SMG, risasi za bastola. Wananchekesha!
FaizaFoxy acha kuweweseka anza kuwaambia mamluki wenu mjipangane namna ya kukanusha jambo hili lakini kifupi mmeshikwa pabaya.
 
Last edited by a moderator:
mnyika anasema. mkuu wa mkoa amesema kianzia kesho anadili na wafanya biashara wadogo. sasa nyika anataka mkuu wa mkoa wa dar awambie machinga wa ubungo waende wapi?. kikwete alisema atajenga machinga complex kwa kila walaya ya dar. kabla hajawafukuza amuulize kikwete machinga complex zipo wapi. japo atawagusa machinga tutaandamana kwenda kwa kikwete kumuuliza machinga complex alizo ahidi zipo wapo. mnyika ataongoza maandamano. mia
 
uploadfromtaptalk1374420265707.jpg
mnyika alimuuliza waziri wa maji kwanini bomba la maji linachukua muda mrefu kuliko bomba la gas? eti akajibu maji uanahitaji itaalam zaidi. moa
 
Viroba punguzen jaman huu ni mwez m2kufu,hiv kungepgwa bomu kwel huo mkutano ungeendelea kwel
Heshidu dini za watu mwezi mtukufu unahusiana vp na viroba,hamuwez changia bila kutaja dini za watu..
 
Back
Top Bottom