Picha: Baada ya Mnyika kukoswa na bomu mkutano unaendelea

Hawa jamaa wanaelekea kubaya,sasa wamepiga bomu ili iweje?
 
Mabomu yameshazoeleke ndio mana bado wa2 wanajaa kwenye mikutano so kama vp ccm wajipange kivigine mbinu hii imeshakwama!
 
Please change the picture, n put anything but not a muslim woman. You make look like muslim women are not smart like you. It seems like you did skip some important Psycho development stages and you need very serious help. By the way, I do not blame a player, I always blame CCM government for being STUPI D. Please, Remove the picture and go get some help

We know you very well, that is where you all end up, trying to find sympathy. You can only blame your miseries to yourselves.
 
Don't be knucklehead all the time, Just take down the Picture and stay who you are, please
 
Chadema kwa kuzua eti Mnyika alitaka kuuliwa na bomu, hilo bomu lilomkosa limemua nani.
Mtabisha sana ila ukweli ndio huo halikuua ila limejeruhi kamanda mmoja...
 
The day is coming, when people will not affraid of Bombs and instead, they shall run towards them...that will be the end of foolishness so call peace in absolute poverty of most Tanzania....HAKUNA AMANI ITAKAYODUMU KWENYE NJAA NA SHIDA KAMA HIZI....SIKU YAJA...NA HATA HAIKO MBALI...!!!

just a dream
 
Kila ukiona kiA kinene juu kunakaribia kupambazuka. Chadema tuongeze ari mara mbili kuingoa CCM kuanzia 2010 na 2015 tunaizika milele
 
Bavichaa utawajuwa tu, hata wakitiwa ndani ya chupa hunyoosha kidole.
mama una line ngapi za simu? kwenu mgao haupo? bibi anapata matibabu vizuri kule kiembe samaki? shule zenu zina zero ngapi? sikuulizi One najua hata four hamna. pole sana mama ukipata majibu ya haya kweli nitakuwa nimetiwa kwenye chupa tangu nizaliwe sijawahi kusikia siri kali iki reseat mtihani haya nimeyasikia bongo tu
 
Toka lini ukasikia kuna mgao Calgary, Alberta, Canada? unanchekesha!
 
ehe makubwa kumbe wewe ni mkimbizi! usikii aibu kujivunia vya wenzako? huo ni utumwa mambo leo sasa hivi vya kwetu vinkuwashia nini? maana shida tunazo sisi wewe unatetea huko ugaibuni ''majanga'' huku nyumbani kuna pini inaitwa majanga sasa tuachie hawa baba zako ccm tumalizane nao huna haki ya kuwatetea
 
Naona umesahau kuwa dunia ni kijiji leo hii. Huo ukimbizi nikukimbie wewe? unanchekesha!
 
nachekesha nini hata kama dunia ni kijiji mbona majinga yako yanataka tuyape mkanda wa bomu walilorusha arusha? wangetambua hilo unalosema mama wasingerusha mabomu.ukimbizi unikimbii mimi unakimbia dhiki iliyosababishwa na baba zako miccm na ndio maana uanasema mgao huko alberta sijui aupo lakini hawa jamaa zako wametusababishia migao ya kufa mtu hapa bongo kibaya zaidi wananyonya damu maiti(TANESCO) kuichanja 10%
 
Umeishiwa na hoja ukaanza kunivaa mimi? haa hunipati. Faiza cheka weee.
Umeshindwa jibu maswali yaliyotokana na maelezo yako, hoja zako hazina mashiko kisheria na ni matusi kwa viongozi wa serikali ya CCM. Please Go back n read everything. ndio maana nakuomba utoe picha
 
Hizi zako ndio mwenyewe umeona ni hoja zenye mashiko? hebu jisome tena hapa, unanchekesha!

Back
Top Bottom