Picha: Baada ya Mnyika kukoswa na bomu mkutano unaendelea

Picha: Baada ya Mnyika kukoswa na bomu mkutano unaendelea

Naona mnaweweseka na jinamizi limewakaba koo, mara Mbowe kakoswa na Bomu, SMG, Bastola, leo tena Mnyika. Huyo ni jinamizi kawakaba, mnaweweseka.
Umerudi mama pekupeku? Nlikumiss kweli.
 
Mkutano unaendelea muda huu ubungo maeneo ya yenu bar. Leo katika hali iliyokua ya si kawaida polisi walivyatua bomu wakati Mnyika akiongea na mkubwa wao kwa mbele, nyuma ya defender kulikua na Askari wanane Mara mmoja akafyatua bomu kwa Lengo la kudhuru mnyika, lakini likaruka na kwenda dukani na likampata bw.thomas Jerome ambaye limemchana pajani na ameshapelekwa hospital na anaendelea vizuri na kesho ameambiwa akachome sindano ya tetenasi.

POLISI hawezi kuwa hawana shabaha kiasi hicho, hao ni chadema wenyewe wanaendelea na janja yao ya kujirushia mabomu ili baadaye wailaumu walaumu jeshi la POLISI.
 
Those who registered are no longer there. Can you name one whom is still there?
If the registration was given by mistake or Officials altered the process, government reserve right to revoke it, Do you agree? It is not matter of who or they, it is a process. Who appointed those officials? are they in prison now or get fired for misuse office and issued the registration to the thugs?
 
Those who registered are no longer there. Can you name one whom is still there?
The registrar's office is closed? It is not who issues a registration, but the office of what. Those officials are just a human machines working under policies and procedures.
 
If the registration was given by mistake or Officials altered the process, government reserve right to revoke it, Do you agree? It is not matter of who or they, it is a process. Who appointed those officials? are they in prison now or get fired for misuse office and issued the registration to the thugs?

So you blame those who registered for your miseries, what a pity.
 
kazi ni kubwa naona tuwe tunafanyia mikutano mataa,wanabana kila kona ila wataachia kwani wasipoachia itachanika,cdm ni ubungo na ubungo ni cdm tunajivunia chuo kikuu kuelimisha wananchi wa ubungo na wameelimika,kinondoni kuna OUT kazi inaendelea vizuri matokeo mtayaona
 
So you blame those who registered for your miseries, what a pity.
Please change the picture, n put anything but not a muslim woman. You make look like muslim women are not smart like you. It seems like you did skip some important Psycho development stages and you need very serious help. By the way, I do not blame a player, I always blame CCM government for being STUPI D. Please, Remove the picture and go get some help
 
Kuna haja gani ya Polic kuja kwenye mikutano kwa nia ya kuleta fujo na si kulinda amani

Cdm itangaze kuwakataa polic kuwepo kwenye mikutano yao maana wana nia mbaya
 
Nakwambia hawa wanatuletea movie ya Toy Story, Mbowe eti alikoswa na Bomu, risasi za SMG, risasi za bastola. Wananchekesha!
Mbinu wanazotumia ni za kitoto hasa na km ni hivi Wananchi waachiwe waamue maana Dar tunaijua
attachment.php

Hapo ndio Mkutano umeisha salama u salimini sasa Bomu li-wapi?
Hivi nikiramba ban utalalamika?
Mkuu na utalamba kweli BAN hawa watu wanatafuta cheap popularity ili waonewe huruma kuwa ni kweliwanaonewa
 
very nice jamani, cdm wekeni namba ya m pesa tuchangie mabadiliko dah i like cdm i like my tz
 
Mkutano unaendelea muda huu ubungo maeneo ya yenu bar. Leo katika hali iliyokua ya si kawaida polisi walivyatua bomu wakati Mnyika akiongea na mkubwa wao kwa mbele, nyuma ya defender kulikua na Askari wanane Mara mmoja akafyatua bomu kwa Lengo la kudhuru mnyika, lakini likaruka na kwenda dukani na likampata bw.thomas Jerome ambaye limemchana pajani na ameshapelekwa hospital na anaendelea vizuri na kesho ameambiwa akachome sindano ya tetenasi.
Wakuu hizi picha ni za uongo zote isipokuwa ya ukweli ni moja tu ya kwanza juu kushoto ndiyo ya tukio la leo zingine uzandiki kumbe ndivyo mnavyodanganya watu chadema sasa mnakokwenda mnajua wenyewe.
 
Back
Top Bottom