Mnyika amejibu vizuri sana

Mnyika amejibu vizuri sana

econonist

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
23,946
Reaction score
37,229
Kwakweli hili swali limejibiwa vizuri na Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika.

Lissu: Kuna kosa mtu akisema, “Msimamo huu unaashiria uasi”?

Mnyika: Sioni kosa, kwa sababu nilishawahi kuona nukuu ya Mwalimu Nyerere akiwaambia vijana:

“Tunataka katika taifa hili vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi" na hakukamatwa.
 
Mimi naona kama ni upotevu wa muda na fedha,hizi mahakama za Samia hazijalishi ushahidi au namna Gani,zenyewe zinapokea maelezo na maelekezo Toka kwa Samia .

Hata iweje ,Mimi naona kabisa Samia amekusudia kumfunga lissu na lazima atafungwa tu huu ushahidi hausaidii chochote.

Samia anajutia lile shambulio la lissu mwaka 2017 kwanini halikuleta matunda chanya kwa serikali ya wauaji.
 
Hakika Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, ni nouma! Manyumbu yanaendelea kuruka na kukanyagana😄😄😄
 
Mimi naona kama ni upotevu wa muda na fedha,hizi mahakama za Samia hazijalishi ushahidi au namna Gani,zenyewe zinapokea maelezo na maelekezo Toka kwa Samia .

Hata iweje ,Mimi naona kabisa Samia amekusudia kumfunga lissu na lazima atafungwa tu huu ushahidi hausaidii chochote.

Samia anajutia lile shambulio la lissu mwaka 2017 kwanini halikuleta matunda chanya kwa serikali ya wauaji.
Hapana, anachojutia Samia ni kwanini aliamia kuwa mwema kwa mtu mshenzi, mdini na fedhuli?!!!! Hapo anajuta sana.
 
Mimi naona kama ni upotevu wa muda na fedha,hizi mahakama za Samia hazijalishi ushahidi au namna Gani,zenyewe zinapokea maelezo na maelekezo Toka kwa Samia .

Hata iweje ,Mimi naona kabisa Samia amekusudia kumfunga lissu na lazima atafungwa tu huu ushahidi hausaidii chochote.

Samia anajutia lile shambulio la lissu mwaka 2017 kwanini halikuleta matunda chanya kwa serikali ya wauaji.
Mkuu kama hii kesi majaji hawajajenga magorofa kwa hizi posho basi hawatajenga tena.
 
Kwakweli hili swali limejibiwa vizuri na Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika.

Lissu: Kuna kosa mtu akisema, “Msimamo huu unaashiria uasi”?

Mnyika: Sioni kosa, kwa sababu nilishawahi kuona nukuu ya Mwalimu Nyerere akiwaambia vijana:

“Tunataka katika taifa hili vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi" na hakukamatwa.
Aisee.
 
So hapo Tundu Lissu anakiri kweli kuwa alikuwa anahamasisha uasi, ila dhidi ya mfumo kandamizi.....Je huo mfumo unapimwaje kuwa ni kandamizi? Maana ukienda Marekani Kuna wanaharakati wanaona nchi Yao Ina mfumo kandamizi, ukienda China pia wapo wanaiona nchi Yao Ina mfumo kandamizi, Urusi, Kenya, Rwanda, n.k
Mifumo kandamizi na isiyo kandamizi inapimwa kwa kutumia nini?

Je kama mfumo ni kandamizi kweli, kufanya uasi anaoumaanisha Lissu (riots, sabotage, n.k) linakuwa suluhisho halali kwa sababu Nyerere alisema? Tunatakiwa kuchukua maneno ya wanasiasa au viongozi kama kuhalalisha jambo hata kama litahatarisha amani na usalama wa nchi?

Mfano Magufuli alishawahi kusema wafungwa wafanyishwe kazi kama punda, wapigwe mateke, Inakuwa ni kauli sahihi kwa sababu kiongozi mkubwa alisema?
 
Kwakweli hili swali limejibiwa vizuri na Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika.

Lissu: Kuna kosa mtu akisema, “Msimamo huu unaashiria uasi”?

Mnyika: Sioni kosa, kwa sababu nilishawahi kuona nukuu ya Mwalimu Nyerere akiwaambia vijana:

“Tunataka katika taifa hili vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi" na hakukamatwa.
 
Attachments

  • 1000024076.jpg
    1000024076.jpg
    45.1 KB · Views: 1
  • HQgT1r8WEAAQizI.jpg
    HQgT1r8WEAAQizI.jpg
    88.9 KB · Views: 1
CHADEMA kumejaa vichwa sana.
Nani alimjua Heche? Nakuambia huyu mwamba ni kichwa sana. Achana na msimamo wake kwanza. Ingia kwenye uwasilishwaji wake wa hoja.
Kuna mtangazaji mmoja chawa uchwara mwenye ngozi. Juzi juzi hapo kwenye mahojiano anajifanya kumprovoko Heche kwa maneno ya kejeri hivi,ili Heche apanic. Ajabu Heche alikuwa mtulivu sana na anajibu kwa ustarabu kwa takwimu kwa uchanganuzi wa maana. Mpaka yeye mwenyewe mtangazaji baada kuona Heche hatikisiki akatoka kwenye mstari. Huyo Heche
 
Kwakweli hili swali limejibiwa vizuri na Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika.

Lissu: Kuna kosa mtu akisema, “Msimamo huu unaashiria uasi”?

Mnyika: Sioni kosa, kwa sababu nilishawahi kuona nukuu ya Mwalimu Nyerere akiwaambia vijana:

“Tunataka katika taifa hili vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi" na hakukamatwa.
Viva Mnyika Viva.
Viva CHADEMA Viva
 
Mimi naona kama ni upotevu wa muda na fedha,hizi mahakama za Samia hazijalishi ushahidi au namna Gani,zenyewe zinapokea maelezo na maelekezo Toka kwa Samia .

Hata iweje ,Mimi naona kabisa Samia amekusudia kumfunga lissu na lazima atafungwa tu huu ushahidi hausaidii chochote.

Samia anajutia lile shambulio la lissu mwaka 2017 kwanini halikuleta matunda chanya kwa serikali ya wauaji.
Na hayo ndio malengo wanajuwa kabisa mtu ambae anaweza kupambania na mfumo wa selekali hii na akaaminika kwa sasa ni lisu pekee kwaiyo ni bora pesa ipotee muda upotee lakini lisu akae hukohuko ukonga ila watu wale hii nnchi bila kusumbuliwa
 
Nukuu za Nyerere:
Mahakama haipaswi kuamua kwamba kauli ni uhaini kwa sababu tu ina neno “rebellion/uasi”; lazima ithibitishwe kwamba matendo na nia ya mshtakiwa vinafikisha kiwango cha kosa la uhaini kinachotakiwa na sheria.
 
Tunakuuliza wewe sasa katika yote yaliotokea kwenye kesi hii na kwa mujibu wa sheria kuna uhaini?
 
Back
Top Bottom