KALYOVATIPI
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,414
- 199
faizafox atakuwa anafaidika kwa namna moja au nyingne na serikali kama sio chakla ya fisadi fulan bhas kitakuwa kikojoleo cha kina mwigulu na nape
Huku una deni la Billion94, then unashabikia vita na Kagame kwa sababu amemtukana Mh JK. Then unasema utawala wa JK umeliingiza taifa kizani na gharama ya Billion 94. Je hauoni ni sahihi kwa hii serikali kutukanwa? au inakuuma sababu limetoka kwa Kagame?sasa hapa mama ndipo ninaposema unielewi,sasa ni hivi symbioni imenunua mitambo ya dowans, ambapo mitambo hiyo hiyo sisi tumebanwa kuilipa dowans bilioni 94 baada ya kukata rufaa ya kukataa kulipa bilioni 45, kwa hiyo mshikaji anachukua zetu 94 na za symbioni ambapo sijui ni ngapi kutengeneza hiyo power africa yaani mlifinyanga hivyo hili tusiulize why 94 b?
sasa hapa mama ndipo ninaposema unielewi,sasa ni hivi symbioni imenunua mitambo ya dowans, ambapo mitambo hiyo hiyo sisi tumebanwa kuilipa dowans bilioni 94 baada ya kukata rufaa ya kukataa kulipa bilioni 45, kwa hiyo mshikaji anachukua zetu 94 na za symbioni ambapo sijui ni ngapi kutengeneza hiyo power africa yaani mlifinyanga hivyo hili tusiulize why 94 b?
mkuu ni kweli huyu jamaa wa kwetu ananichefua lakini kale nako ndiko kanamwaga damu za waafrika wenzetu kuna watu wa ruanda wakimbizi wa milele kale pia ndiko kanaleta shida maziwa makuu huyu naye kutukanwa sawa sawa kaambiwa wanavyama vingapi? watoto wakajibu kumi sasa vyama kumi vinasaidia nini nchi yao duuh hii ni nomaHuku una deni la Billion94, then unashabikia vita na Kagame kwa sababu amemtukana Mh JK. Then unasema utawala wa JK umeliingiza taifa kizani na gharama ya Billion 94. Je hauoni ni sahihi kwa hii serikali kutukanwa? au inakuuma sababu limetoka kwa Kagame?
amesema ile b94 atailipa yeye?Hebu pitia hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...bion-power-dedicated-to-mzee-mwanakijiji.html
Huo mjadala unajadiliwa kwa kina, labda utafunguwa kichwa kidogo.
Juzi haukuona viongozi wa CUF wakionyesha makovu magazetini? Kosa lao ni kufuatilia habari za kubakwa binti mdogo wa kimakonde. Kuna mengi yanaendelea huko Ntwara ambayo ni umwagaji damu na ubakaji unaofanywa na JWTZ. Watu wanaishi misituni kuhofia kuteswa na Jeshi la CCM. Narudia, kama majeshi ya Kagame yatafanikiwa kufika Dar, mimi nitakuwa wa Kwanza kuwaonyesha Ikulumkuu ni kweli huyu jamaa wa kwetu ananichefua lakini kale nako ndiko kanamwaga damu za waafrika wenzetu kuna watu wa ruanda wakimbizi wa milele kale pia ndiko kanaleta shida maziwa makuu huyu naye kutukanwa sawa sawa kaambiwa wanavyama vingapi? watoto wakajibu kumi sasa vyama kumi vinasaidia nini nchi yao duuh hii ni noma
amesema ile b94 atailipa yeye?
just a dream
Mwigulu yupo airport anasubiri maiti za wanajeshi kuonyesha ana uchungu na nchi hii wakati Soweto Arusha alionyesha kiburi cha ajabu
mnyika bana...ati alitaka kuuliwa kwa bomu ... uongo mwengine wa kitoto sana :help:
Bomu limepigwa na mkutano unaendelea, hili linawezekanaje?