PICHA: ALIYEINGIZA SILAHA ZA MO29 HUYU HAPA

PICHA: ALIYEINGIZA SILAHA ZA MO29 HUYU HAPA

Shaddy deals. Mifumo rasmi ya nchi haiwezi kutumika katika kazi chafu. Hapa ndipo anapoingia Fixer.

Kama kawaida huwa Fixer hana maisha marefu labda awe na akili kubwa sana sio huyu aliyekuwa akijipost mitandaoni kila move kutafuta sifa za kitoto.
 
Show off ni strategy ya kujaribu kuficha mambo mengine
uko sawa.

Naliona tatizo katika picha zake na maRais. Ramaphosa alipata tabu sana kukanusha kuwa alikutana na huyo jamaa akidai inaelekea alijichomeka tu kwenye ziara yake huyo Zimbabwe. Ruto hakuwa na kauli baada ya kejeli alizomiminiwa na mahasimu wake aliponaswa red handed katika post za jitu. Hapa kwetu unajua kilichotokea. JF iliparalyze tukawa tunaizimua kwa VPN.
 
Hatari sana
 
Hii Octoba Mpaka Ile Siku Ya Kumbukumbu Ya Ndugu Zetu,,Watazikwa Mnoo....​
 
Shaddy deals. Mifumo rasmi ya nchi haiwezi kutumika katika kazi chafu. Hapa ndipo anapoingia Fixer.

Kama kawaida huwa Fixer hana maisha marefu labda awe na akili kubwa sana sio huyu aliyekuwa akijipost mitandaoni kila move kutafuta sifa za kitoto.
Huyo mtu, huo mtindo wake ndiyo ilikuwa njia yake kubwa ya kupotezea lengo, watu wasichimbe zaidi uhalisia wake.
Ukweli utakuja tu kujulikana kwamba huyo jamaa alikuwa ni mtu hatari sana, aliyekuwa akitumiwa kufekeleza mipango ovu.

Unaweza kumtofautisha huyu unayempachika kuwa na akili za kitoto na yule anayeshikilia madaraka makubwa duniani kwa mabeberu sasa hivi?
 
Kwani kama Nchi vikosini hatuna silaha mpaka ziingizwe na Mtu?
Unacheza kuwapa silaha mpaka traffic? Silaha nyingi zilizopo Armory ni za kufunga na manati. A short notice supply you need to bypass legal channels na kutumia watu ambao tayari wana a quick and reliable supply chain...
 
Naliona tatizo katika picha zake na maRais. Ramaphosa alipata tabu sana kukanusha kuwa alikutana na huyo jamaa akidai inaelekea alijichomeka tu kwenye ziara yake huyo Zimbabwe. Ruto hakuwa na kauli baada ya kejeli alizomiminiwa na mahasimu wake aliponaswa red handed katika post za jitu
Tatizo letu sote linaanzia hapa.
Ku-'dismiss' kirahisi tu vidokezo vinavyoweza kutupa tafsiri ya maswala muhimu.

Lakini naamini, taarifa zitaanza kutoka taratibu kumtambulisha huyu mtu nafasi yake katika mpango mkubwa wa kuvuruga hivi vi-nchi vyetu maskini kwa kuwatumia watu wa aina hii.
 
Hizo za vikosini, viko “accounted for”

Kila risasi inayotoka lazima iwe na maelezo.

Hivyo uchunguzi huru unashindwa kuwa “implicate”
Tume 'FEKI' ya Chande na huyo mwingine hazitasema chochote kuhusu haya.
Lakini hapa ndipo penye ushahidi muhimu kuhusu mauaji haya ya Oktoba 2025.
 
limesha kufa na limezikwa bila kichwa...! lijamaa limetuthibitishia kuwa ukizoea kula nyama za watu...hata nyama yako inaweza kulambwa ukizubaa
 
uko sawa.

Naliona tatizo katika picha zake na maRais. Ramaphosa alipata tabu sana kukanusha kuwa alikutana na huyo jamaa akidai inaelekea alijichomeka tu kwenye ziara yake huyo Zimbabwe. Ruto hakuwa na kauli baada ya kejeli alizomiminiwa na mahasimu wake aliponaswa red handed katika post za jitu. Hapa kwetu unajua kilichotokea. JF iliparalyze tukawa tunaizimua kwa VPN.
Ile kwa rhamaposa big alijichomeka 😄
Kumbukua ana hang na mtu aliyekuwa na msala huko S.A
Ila BIG alikuwa na guts 😄 aise,wale marais(weak)aliyoweza kuwaingia aliwaingia 😄
Salute kwake

Ova
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom