Alikuwa akipeleka Sudan kusini pia. Chakujiuliza ni je Samia kapata pesa zake au ndio imetoka tena?? Katuangusha sana waislaam mtu yupo kwenye Eda halafu anachajna mbuga vile?? Shehe Mkuu na Mwaipopo wanasemaje kuhusu mtu yupo kwenye Eda kwenda Zimbabwe??Kama ni yeye si ameshakufwa, kwa hiyo kwa sasa CCM hawataua tena raia ?
Na wakati ule wazanzibar walipokuwa wanauawa kipindi cha Mkapa, Kikwete na Magufuli, nani alikuwa anaingiza silaha?