Watu wengine waliuliwa mabarabarani.
Wengine nyumbani.
Wengine walibebwa mahospitalini.
Wengine walifia jela baada ya kutupwa wakisubiria kesi za uhaini.
Asikudanganye mtu watu waliohusika na haya wataacha.
Au watakutengenezea mazingira mazuri ya kupata haki yako popote.
Hamjambo!
Leo nimeanza kufanya mazoezi ya kukimbia kama sehemu ya kujitafakari kwa kile kilichonitokea MO29.
Mimi ni moja ya watu nilioamini ninajua kukimbia haswa. Mwili na umbo langu linanisapoti kufanya mijongeo freestyle, na moves za kasi kuliko kawaida.
Shuleni kwetu nilikuwa moja ya...
Baada ya kufanya kazi kwa miaka zaidi ya 3 kwenye hospital, na kuwa karibu na wagonjwa wa kila namna, niliona kuwa kifo sio adhabu kwa mtu anayevunja sheria.
Nataka kuona wakiwa mahakamani, wakitoa maelezo nani aliwapa oda, walilipwa shilingi ngapi( au walipewa tu hela za mafuta), wote...
Kuna mzee jirani yetu siku nimeonesha mwanaharakati Mdude ametekwa na video ya ushahidi pia akasema ooh hakuna kitu kama hicho huyo mdude ni kijana mdogo sana hawezi kutekwa ni chadema tu wanatafuta umaarufu.
Ila kwa bahati mbaya, kipindi cha MO29 mwanae alipigwa risasi kwenye kibanda chake cha...
Wanataka siku zote adui yao awe CCM ili waendelee kubaki kututawala.
Au wanataka mpinzani soft soft leo watu wanatekwa kesho tunakutana kwenye mechi ya Simba na Yanga tunachekeana na tag juu “ Upinzani sio Uadui”, sio uadui wakati watu wanauliwa, wanabakwa, chaguzi zinaibiwa, watu hawajazika...
Nimekaa nikawaza hapa tu lengo la kumvua uanachama Nchimbi ni lipi?
Nikiwa sijapata jibu la swali hilo mara gafla akili ikaniambia rejelea Hadidu rejea za Tume ya Jaji Lila,
wakuu moja ya hadidu rejea ya Msingi na ya kwanza kabisa iliyopewa Tume ya Jaji Lila..Ni kina nani wahusika au...
Kuna watu kwanza walisemaga hawataki kuongozwa na MWANAMKE
Baadae wakalambishwa asali wakaanza kutisha wengine kuwa ole wao wamsemao kiongozi huyo mwanamke tunawakata mapanga
Baadae wakashabikia waliopotezwa 29 kuwa sio wa kwao!
Sasa Mungu hapendi dhihaka
Rio Frednand haja post taarifa yoyote kuhusu ziara yake nchini
Katika kufanya doria mitandaoni nimegundua Gen Z hawazuiliki,
Wamevamia page yake na kuandika Yale matukio ya mo29 n. K
Ni kama Gen Z kutunza Siri sio mambo Yao
Gen Z wanajiamria mambo katika Taifa hili
[
Mkutano wa Leo wa Mh LEMA pale Arusha, Ni kama anawapa CCM ukubalifu, yaan ni kama Anakubali Serikali ya CCM, na Kuona kwamba kuruhusiwa kwa mikutano hiii ni kama Jambo jema la CCM kwa Vyama vya Upinzani.
Ukweli ni kua, Moja ya Sababu kubwa ya Vijana Kuandamana na kukubali kuuliwa Oktoba 29...
Aisee ninauhakika kuwa ata CCM na majeshi Yao Kuna funzo kubwa walilipata kuhusu binadamu.
Kabla ya MO29 watanzania walihamasishana mitandaoni kukiwasha ila watawala waliwachukulia poa. Kwa nchi kama US inayofanya security analysis kamwe wasingepuuzia.
Serikali walipitisha majeshi mitaani...
Tume imeshauri kuwe na siku ya kumbukumbu ya muuaji ya halaiki ya Mo29 kila mwaka, ni jumbo zuri.
Rwanda kila tarehe 7 ya mwezi Aprili huadhimisha kumbukumbu ya mauaji ya kimbari iliyotokea mwaka 1994.
Faida kuu 2, mosi ni kuwakumbuka na kuwapa heshima wapendwa wetu waliotangulia mbele ya...
Wanaume: 490
Wanawake: 28
Askari: 16
Watoto: 21 Kati yao,
Miaka 15-17 walikuwa 15.
Miaka 7-10 walikuwa 4.
Chini ya miaka 5 walikuwa 2.
Vifo vingi vikiwa vimetobolewa na kitu chenye ncha kali yaani walipigwa risasi. Zaidi ya watu 700 walitekwa na kupotea wengine hadi leo hawajulikani.
Wengi...
Leo Chande atatukumbusha wapendwa wetu waliouawa na polisi kwa kupigwa risasi za kichwa.
Leo tutakumbushwa yule mama wa Arusha aliyepigwa risasi ya mgongo akiwa na mimba ya miezi mitatu.
Leo tutakumbushwa wale vijana wa Mwanza waliokuwa wanaangalia mpira wakatolewa nje wote wakapigwa risasi...
Nimekuwa nikufuatilia mambo ya nchi yetu kabla ya uchaguzi na baada ya uchafuzi. Pamoja na matokeo ya huo uchafuzi na yanayo endelea Hadi sasa. Sasa kwenye hii tume haram, kuna watu walitenda KAZI zao vizuri huko nyuma na kujijengea heshima. Lakini sasa, wanakabiliwa na changamoto kubwa saana ya...
Hamjambo wote!
1. MO29 ilikuwa ni mawingu. Ilionyesha uwezekano pasipo uwezekano.
2. Uliwahi kujiuliza kama MO29 ingefanikiwa walau kwa asilimia 50% nini kingetokea? Najua sio Kila MTU anaweza ku-project matukio, lakini ninakuhakikishia ukweli ni kuwa MO29 ingefanikiwa walau kwa 50% mpaka...
Daa hii nchi sijui kama itapona makovu ya MO29.
Sasa Kuna TV mpya , ni online TV, imeanzishwa imepewa jina la MO29 TV.
Hii channel inapiga spana kweli kweli, imegeuka kilio Cha kusaga meno Kwa CCM.
Je MO29 TV ni ya nani? Na itaweza ku- survive bila kufungiwa.
Let wait and see.
Mto wa mbu...
Kama unavyomsikia Bibi wa Taifa kwenye clip hapo chini, anasema maiti za wananchi waliouliwa wakati wa sekeseke la MO29 na kisha miili yao kuchukuliwa na kupelekwa kusikojulikana, ziliteketezwa kwenye tanuru la kiwanda cha sementi.
Wakati watu wanatafuta miili ya ndugu zao wazike kumbe miili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.