Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,233
- 138,749
Kila kitu ukikitafathiri kuwa ni uchochezi basi hata nyumbani kwako watoto wakilala mika kuwa umekuwa ukiwalisha dagaa ili hali wewe kila siku una lewa utaita uchochezi wa chadema..hahahah, nje ya mada; Badilisha jina mkuu siku hizi Okwi hayuko tena badala yake kuna dogo anaitwa Honongwa ni balaa...
Crashwise nimekusoma Kamanda wangu....hilo la User Name em tusaidiane, umaanisha iwe HONONGWA BOBAN SUNZU, unaweza pia kunipa nyingine. Kwa nini pia isiwe M4C IRAMBA