Picha: Aibu jimboni kwa Ole Medeye

Picha: Aibu jimboni kwa Ole Medeye

Wanasema waunde tume kuchunguza kwanini wanafunzi wanafail wakati hata kichaa anajua ni kwanini wanafunzi wana-fail sana....

Hivi huu upuuzi wakila siku kunda tume bado unaendelea kwenye hii serekali dhaifu nilini walituletea majibu sahihi ya hizo tume wanazo unda uhu ujinga jamani mbaka lini uku Nchi inangamia
 
wavivu wa kufikiri watakuja na comments kwamba Lema ni mchochezi anatembelea majimbo ya wenzake hata wananchi wa majimbo hayo husika hawajamwarika.

Kwangu mimi hii ndiyo hali halisi ya elimu yetu, ukisema elimu imebakwa viongozi wanakwambia unatukana taifa futa kauli.
 
Hata huyu Jogoo ana nafuu kuliko binadamu

attachment.php
 
Wanasema waunde tume kuchunguza kwanini wanafunzi wanafail wakati hata kichaa anajua ni kwanini wanafunzi wana-fail sana....
mimi kipekee sioni sababu za tume au wanatafuata njia za kula hela matatizo yanajulikana kwa nini tume kila cku tumeona tume zimeundwa then hakuna kitu kinaendelea rejea tume ya ulimboka,tume za kova kigamboni na fedha kkoo we unaona hizi tume zina manuffaa angalia pia ile ya jairo wapi.tatueni matatizo kuliko kuunda tume sizizo na manufaa kwa jamiii
 
Mi naona hatua sitahiki isipochukuliwa hakika msimu ufuatao itafelisha kwa 80% bila shaka!

Hatua gani stahiki itachukuliwa zaidi unasikia tume iundwe huu ujinga wa viongozi wa serekali ya magamba ya kitu ikitokea unasikia tume iundwe badala ya kuchukua hatua haraka kwa muhusika wa wizara husika
 
hiyo shule ina madawati, hata kama ni matano, washukuru Mungu kwelikweli.
wakipata 0 mnaanza kulalamika
 
Aibu iko wapi hapo wakati hiyo ndiyo hali halisi ya sehemu nyingi za Tanzania?
Nyani Ngabu, sikutegemea kupata komenti hii toka kwako, yaani hali hii kwako huoni kama ni ajabu na aibu, lakini sishangai sana kwa vile mtu akizoea uchafu au kulala na mbuzi chumba kimoja akiambiwa ni hatari kwa afya yake yeye atasema hana shida ameshazoea.
 
Last edited by a moderator:
atakaeweka picha hizi kwenye magazeti,gazeti litafungiwa na yeye mwenyewe atashitakiwa kwa kosa la uchochezi,maana polisi wameamua ukweli kuuwita uchozezi
 
Naona ''uchochezi'' wa CDM
Kila kitu ukikitafathiri kuwa ni uchochezi basi hata nyumbani kwako watoto wakilala mika kuwa umekuwa ukiwalisha dagaa ili hali wewe kila siku una lewa utaita uchochezi wa chadema..hahahah, nje ya mada; Badilisha jina mkuu siku hizi Okwi hayuko tena badala yake kuna dogo anaitwa Honongwa ni balaa...
 
Mi naona hatua sitahiki isipochukuliwa hakika msimu ufuatao itafelisha kwa 80% bila shaka!
Mkuu LiverpoolFC waliofeli ni zaidi ya 94% kwani kiuhalisia watakao endelea na kidato cha tano ni wale walio pata daraja la kwanza mpaka la tatu ambao hawazidi 6%.....
 
Last edited by a moderator:
Hata huyu Jogoo ana nafuu kuliko binadamu

attachment.php
hivi kwa hali hii utajivunia kuitwa mwalimu kweli...jana nimekutana na askali mageeza kiatu kimeisha vibaya sana na suruali imechaniaka kimoyomoyo nikasema kumbe wako wengi....
 
Back
Top Bottom