Picha: Aibu jimboni kwa Ole Medeye

Picha: Aibu jimboni kwa Ole Medeye

Vipi na wewe ulisoma shule kama hii kama ndiyo mwaka gani? nakwanini hakuna mabadiliko ili hali deni la taifa lina zidi kuongezeka achilia mbali rasilimali tulizonazo....je kuna haja ya kuendelea na utwala huu..

Kama una nia ya kuendelea na hali hii.
 
Kha hiyo mbona nzuri ngojea niupload ya Kibaha hapa hapa pwani.. Aisee
 
Lowasa anasema waunde Tume kuhusu matokeo ya form IV kuwa mabaya wakati hawa wanafunzi wamekuwa wakibebwa hata kama hawakufaulu ili kujaza nafasi kwenda form I. KAma mnakumbuka matokeo ya darasa la saba Mwaka JAna ambao ni form I mwaka huu yalikuwa mabaya na wakalazimisha walivyofanya wao wenyewe ili kuboost ufaulu wao!!!
 
Halafu hapo kuna mkuu wa wilaya, kuna mkurugenzi na kuna afisa elimu wa wilaya ambao wanalipwa mshahara kwa ajili ya kazi hizo za kusimamia maendeleo ya huko.

Zaidi ya hilo unakuta wanatembelea magari ya kifahari, ukitokea ufunguzi wa kisima cha msaada kutoka serekali ya japan wanakuja na malandcruser yao ya mamilioni ya shilingi waliyoyanunua kutoka japan, huku balozi wa japani akizindua kisima cha maji cha msaada, chenye gharama hambayo haifiki hata nusu ya gari mojawapo.
 
Assumu Mwalimu wa kike anabinuka na kuandika,na awe amejazia, ivi concentration itakuwepo kweli?
 
Lowasa anasema waunde Tume kuhusu matokeo ya form IV kuwa mabaya wakati hawa wanafunzi wamekuwa wakibebwa hata kama hawakufaulu ili kujaza nafasi kwenda form I. KAma mnakumbuka matokeo ya darasa la saba Mwaka JAna ambao ni form I mwaka huu yalikuwa mabaya na wakalazimisha walivyofanya wao wenyewe ili kuboost ufaulu wao!!!
Tume hata kwenye mambo yaliyo wazi? wawa sikilize walimu waboreshe miundombinu maji safi mashuleni, nyumba nzuri za kuishi walimu na umeme, madarasa mazuri na vifaa vya kufundishia, vyakula mashuleni.....
 
Hadi kuku wanaingia darasani wanaenda pumziko? Serikali isiangalie miji mikuu tu vijijini pia kunahitaji mtazamo wa karibu kwani ndipo pa kwanza wanakimbiliaga kuomba kura licha ya hayo nao pia wanamahitaji and its part of serikali yetu pia
Mkuu kuna shule hapo bunju B wanafunzi wana kaa chini na wako zaidi ya mia na 150 darasa moja na ni hapo Dar...hii Serikali ni ya kutoa kabia niliwahi kuweka picha ya shule moja hapo mpwani ni kituko na hii shule iko barabarani kabisa kabla huja fika chalinze ukiwa unatokea Dar...
 
Mnataka kujenga shule kwa mzigo wa bangi kwanini siyo wa pembe za Tembo au wale wanyama mlio wasafirisha
Ule mzigo wa bangi ulionaswa ungeuzwa ungesaidia kujenga shule.
 
Mnataka kujenga shule kwa mzigo wa bangi kwanini siyo wa pembe za Tembo au wale wanyama mlio wasafirisha

Inawezekana ikawa ndiyo sera yao halali haifai kufanyiwa maendeleo ila haramu ndiyo inafaa kufanyiwa maendeleo pembe za Tembo mbaka wamwombe rusa Kinana
 
hapa ndo unategemea watoto wafaulu
 
hapa ndo unategemea watoto wafaulu
Wanasema waunde tume kuchunguza kwanini wanafunzi wanafail wakati hata kichaa anajua ni kwanini wanafunzi wana-fail sana....
 
Siku Moja ukuta utawaponda watoto wetu wakiwa darasani kwa mazingira hayo mmh
 
Back
Top Bottom