Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,347
- 5,555
Mkuu, Nakuomba ujibu swali nililolielekeza kwa Zomba (kwa niaba yake), else naomba ufute matusi yako.
achana nae mpuuzi tu huyo! Katumwa na Lumumba!
Mkuu, Nakuomba ujibu swali nililolielekeza kwa Zomba (kwa niaba yake), else naomba ufute matusi yako.
Lengine ninalo kwani meya wa London alikabidhi hiyo helikopta chumbani?Naona Lema amekuwa mkaguzi wa majimbo ya wenzake,vipi zile ahadi zake za trekta,hospitali?[/FO
ahadi ya hosp imeshatekelezwa, ya helkopta labda mliongea chumbani! Unalingine?
Hapo umesahau na Bango kubwa la Speak English!Picha za moja ya shule ya msingi jimbo la Ole Medeye (Enjoro) wanafunzi wa darasa la tano wanasomea chini ya mti huku walimu wakiishi kwenye mapango kama picha zinavyoonyesha, hakika CCM haina nia njeama na watanzania na kama watanzania nao wataendelea kulala basi tusishangaa watoto kuchora picha za ZOMBI na Messi.
View attachment 84059
View attachment 84060
View attachment 84061
Juu ni baadhi ya madarasa ya shule ya msingi Enjoro
View attachment 84062
View attachment 84063
Juu ni baadhi ya nyumba wanazoishi walimu..
Naona Lema amekuwa mkaguzi wa majimbo ya wenzake,vipi zile ahadi zake za trekta,hospitali?[/FO
ahadi ya hosp imeshatekelezwa, ya helkopta labda mliongea chumbani! Unalingine?
Wewe acha ulimbukeni swala la harakati sio la nyumbani kwako tuu, ulitaka afanyaje kwamfano.!
Mkuu,Vipi na wewe ulisoma shule kama hii kama ndiyo mwaka gani? nakwanini hakuna mabadiliko ili hali deni la taifa lina zidi kuongezeka achilia mbali rasilimali tulizonazo....je kuna haja ya kuendelea na utwala huu..
Maskhara Sheh!So kama ndiyo hali hiyo tunaikuta sehemu nyingi C HATARI KUBWA???YASTAHIL KURIDHIKA NA MAZINGIRA NAMNA HIYO NA KUAMINI KIZAZI CHETU KIMETENDA STAHIL KWA KUJITENDEA HAKI CHENYEWE NA KIZAZI KIJACHO{JE}??KAMA MAISHA YA MWALIMU NI HAYO YA HUYO RAIA dent NI GANI?Aibu iko wapi hapo wakati hiyo ndiyo hali halisi ya sehemu nyingi za Tanzania?