Wataalam wa picha na wale tunaopenda kukaa na kamera.
Hii picha hapa chini nilipiga maeneo flani huko ngorongoro conservation area, hapo kwenye ukungu ndipo ilipo hotel maarufu ya kwanza kujengwa ndani ya hifadhi wakati wa Father of Nation JKN ijulikanayo kama NGORONGORO WILDLIFE LODGE