Peter Msechu afanye mazoezi la sivyo atakuja kulia lia kama Stamina

Huyu jamaa inabidi akajitolee jkt 6months. Kitambi kipungue njia nyingine haiwezekani.

Vibonge wanajipenda sana kwenye maswala ya misosi, halafu huwa wanawahi sikia njaa
Umenikimbusha rafiki yangu fulani simtaji aisee jamaa ukiwa nae kila baada ya nusu saa anakula. Kwenye gari ana Juice, soda ,korosho,karanga,maepo ,tambi mpaka namwambia mzee si uache kubeba mavyakula. Anasema asikia njaa muda wote
 
Huyu jamaa uraiani hawezi pungua anapenda sana kula kuliko hata mkee wake. Kuna interview moja aliwahi kusema alikuwa anaamka saa 6 usiku anaenda kufunua masufuria yenye kiporo cha wali maharage anakula just image mtu kama huyo afatilie mambo ya diet
daah eti masufuria yenye viporo vya wali na maharage.
 
Back
Top Bottom