Engineer Hersi ataifikisha Yanga mbali ana kitu (mkataba wa Hero)

Dabil

JF-Expert Member
Sep 30, 2021
5,885
13,263
Pamoja na kuwa mi ni shabiki lia lia wa Simba lakini huyu jamaa ameibadili Yanga na ana Vission, club ya Simba imezungukwa na genge la wapigaji kuanzia mdhamini mkuu.

Kila mkataba wa Yanga kuna uwazi tofauti na Simba ambayo mikataba na matumizi ya hela wanaojua ni genge la wachache.

Leo Yanga imeingia mkataba wa miezi 18 na kampuni inayotengeneza pikipiki ( Hero).

Mkataba unaruhusu matawi ya Yanga kupata posho na kufaidika.
Simba tuna vyanzo vya kuingiza hela ila matumizi hayajulikani,mkataba wa bidhaa za Mo kwenye jezi ni siri za wachache,Simba App hela inakoingia wanajua wao, matangazo ya kamari shabiki bingwa wanajua wenyewe,hata michango ya wanachama kwa ajili ya uwanja wanasema ni matumizi mengine hatujui ni ya familia za watu au wakati hayakutumika kwenye ujenzi wa uwanja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofauti ya Simba na. Yanga viongozi wa Simba kuanzia mdhamini wapo kimaslahi zaidi ndio maana Kila kitu wanafanya Siri hata mauzo ya wachezaji ni Siri mapato uwanjani ni Siri mikataba Siri na pia mikataba hata Kama Ina pesa nyingi Kama mdhamini ana biashara inayofanana hawaichukui.
Mdhamini wa Simba ana biashara ya pikipiki hivyo usitegemee Simba wakaingia mkataba na wauzaji wa pikipiki washindani.
 
Kwani jamaa na hata Senzo si walishakiri kwamba waliandikiwa desa na Sevilla/La Liga ambalo ni plani ya maendeleo....

Itakuwa wanaifuata hiyo na kupata consultation kwa kila hatua...
 
Yeah! Ni kweli. Japo biashara ya pikipiki za mdhamini haziinufaishi chochote Simba
 
Yanga haina wapigaji, Yanga haina wahuni?

Are you kidding?

Yanga iliingia mkataba na Azam TV kuhusu kuweka chaneli yao katika kisimbuzi cha Azam
1708601937265.png

Niambie hiyo chaneli ipo namba ngapi?

Na juzi hapo wameingia mkataba na Agakhan hospital lakini outcome yake itakuja kama vitambulisho vya machinga na ahadi ya kupata mkopo benki
 
Tofauti ya Simba na. Yanga viongozi wa Simba kuanzia mdhamini wapo kimaslahi zaidi ndio maana Kila kitu wanafanya Siri hata mauzo ya wachezaji ni Siri mapato uwanjani ni Siri mikataba Siri na pia mikataba hata Kama Ina pesa nyingi Kama mdhamini ana biashara inayofanana hawaichukui.
Mdhamini wa Simba ana biashara ya pikipiki hivyo usitegemee Simba wakaingia mkataba na wauzaji wa pikipiki washindani.
Simba sijui tutatokaje kwenye mtego kama huo,maana inatumika tu kibiashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani jamaa na hata Senzo si walishakiri kwamba waliandikiwa desa na Sevilla/La Liga ambalo ni plani ya maendeleo....

Itakuwa wanaifuata hiyo na kupata consultation kwa kila hatua...
Mkuu Senzo alikataa chupri chupri,aliona anatumika kama connection watu wafikie malengo yao na si kwa ajili ya club

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga haina wapigaji, Yanga haina wahuni?

Are you kidding?

Yanga iliingia mkataba na Azam TV kuhusu kuweka chaneli yao katika kisimbuzi cha Azam
View attachment 2912220

Niambie hiyo chaneli ipo namba ngapi?

Na juzi hapo wameingia mkataba na Agakhan hospital lakini outcome yake itakuja kama vitambulisho vya machinga na ahadi ya kupata mkopo benki
Hiyo watakuja kuelezea wadau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na kuwa mi ni shabiki lia lia wa Simba lakini huyu jamaa ameibadili Yanga na ana Vission, club ya Simba imezungukwa na genge la wapigaji kuanzia mdhamini mkuu.

Kila mkataba wa Yanga kuna uwazi tofauti na Simba ambayo mikataba na matumizi ya hela wanaojua ni genge la wachache.

Leo Yanga imeingia mkataba wa miezi 18 na kampuni inayotengeneza pikipiki ( Hero).

Mkataba unaruhusu matawi ya Yanga kupata posho na kufaidika.
Simba tuna vyanzo vya kuingiza hela ila matumizi hayajulikani,mkataba wa bidhaa za Mo kwenye jezi ni siri za wachache,Simba App hela inakoingia wanajua wao, matangazo ya kamari shabiki bingwa wanajua wenyewe,hata michango ya wanachama kwa ajili ya uwanja wanasema ni matumizi mengine hatujui ni ya familia za watu au wakati hayakutumika kwenye ujenzi wa uwanja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja
 
Au unazungumzia mkataba wa punguzo la 5% kumuona daktari wa Aga Khan kwa sh. 70,000/= wakati kuna mahali daktani anaonwa kwa sh. 10,000/= bila punguzo? Akili ni nywele, muhindi ana akili kulko mwarabu na msomali
 
Pamoja na kuwa mi ni shabiki lia lia wa Simba lakini huyu jamaa ameibadili Yanga na ana Vission, club ya Simba imezungukwa na genge la wapigaji kuanzia mdhamini mkuu.

Kila mkataba wa Yanga kuna uwazi tofauti na Simba ambayo mikataba na matumizi ya hela wanaojua ni genge la wachache.

Leo Yanga imeingia mkataba wa miezi 18 na kampuni inayotengeneza pikipiki ( Hero).

Mkataba unaruhusu matawi ya Yanga kupata posho na kufaidika.
Simba tuna vyanzo vya kuingiza hela ila matumizi hayajulikani,mkataba wa bidhaa za Mo kwenye jezi ni siri za wachache,Simba App hela inakoingia wanajua wao, matangazo ya kamari shabiki bingwa wanajua wenyewe,hata michango ya wanachama kwa ajili ya uwanja wanasema ni matumizi mengine hatujui ni ya familia za watu au wakati hayakutumika kwenye ujenzi wa uwanja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lengo lako ni kuona timu ya Simba inasonga mbele kimaendeleo maana raslimali watu na vyanzo inavyo. Unasema kasoro unayoiona ni matumizi ya hivyo vyanzo (fursa) na uwazi katika mauzo na matumizi. Utashangaa anajaitokeza hapa Simba asili atakupinga bila vigezo na atatoa mifano ya Pan African au Azam.
 
Tofauti ya Simba na. Yanga viongozi wa Simba kuanzia mdhamini wapo kimaslahi zaidi ndio maana Kila kitu wanafanya Siri hata mauzo ya wachezaji ni Siri mapato uwanjani ni Siri mikataba Siri na pia mikataba hata Kama Ina pesa nyingi Kama mdhamini ana biashara inayofanana hawaichukui.
Mdhamini wa Simba ana biashara ya pikipiki hivyo usitegemee Simba wakaingia mkataba na wauzaji wa pikipiki washindani.
Actually,
Engr.yuko vizuri na
mi naona anakwenda vizuri na atafika mbali na Yanga 🐒
 
Pamoja na kuwa mi ni shabiki lia lia wa Simba lakini huyu jamaa ameibadili Yanga na ana Vission, club ya Simba imezungukwa na genge la wapigaji kuanzia mdhamini mkuu.

Kila mkataba wa Yanga kuna uwazi tofauti na Simba ambayo mikataba na matumizi ya hela wanaojua ni genge la wachache.

Leo Yanga imeingia mkataba wa miezi 18 na kampuni inayotengeneza pikipiki ( Hero).

Mkataba unaruhusu matawi ya Yanga kupata posho na kufaidika.
Simba tuna vyanzo vya kuingiza hela ila matumizi hayajulikani,mkataba wa bidhaa za Mo kwenye jezi ni siri za wachache,Simba App hela inakoingia wanajua wao, matangazo ya kamari shabiki bingwa wanajua wenyewe,hata michango ya wanachama kwa ajili ya uwanja wanasema ni matumizi mengine hatujui ni ya familia za watu au wakati hayakutumika kwenye ujenzi wa uwanja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha...kama wewe unasema hivi basi ...nimeelewa
 
Wewe ni shabiki wa mbumbumbu ambaye haumo katika wale alio watamka Rage, ila ao wenzako wenye macho na hawaoni, wanamasikio na hawasikii ni ule ushabiki (mashonde) ume wajaa.
 
Tofauti ya Simba na. Yanga viongozi wa Simba kuanzia mdhamini wapo kimaslahi zaidi ndio maana Kila kitu wanafanya Siri hata mauzo ya wachezaji ni Siri mapato uwanjani ni Siri mikataba Siri na pia mikataba hata Kama Ina pesa nyingi Kama mdhamini ana biashara inayofanana hawaichukui.
Mdhamini wa Simba ana biashara ya pikipiki hivyo usitegemee Simba wakaingia mkataba na wauzaji wa pikipiki washindani.
Simba mashabiki..viongozi. wote mbumbumbu
 
Wewe ni shabiki wa mbumbumbu ambaye haumo katika wale alio watamka Rage, ila ao wenzako wenye macho na hawaoni, wanamasikio na hawasikii ni ule ushabiki (mashonde) ume wajaa.
Hahahahahaha...mfuatilie vzr ..ni leo tu kaongea ukweli
 
Back
Top Bottom