Mr Blue aka Babylon kuongoza BIHARAMULO STAR SEARCH

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Biharamulo star search ndio shindano kubwa ndani ya mkoa wa kagera lilidhaminiwa na mbunge wa jimbo la Biharamulo Mh Ezra CHIWELESA na kampuni ya Tigo Tanzania na n.k

Kwa sasa wasanii kibao wanaenda kupiga tafu vijana pande hizo baada ya shorobwenzi aka Stamina sasa ni blue konogesha na kushauri vijana nini wafanye ili watoke

Biharamulo star search ni jimbo linalokuwa kwa kasi sana kimaendeleo na kimichezo

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwache azile
 
Msubi mwenyewe ndiyo huyu
IMG-20230423-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom