Kupinga watu wasioane, ni ujuha

Kuna watu ambao wamechanganyikiwa, wanapinga ndoa, kwa ujuha wao, nawaomba vijana msiwasikilize hao majuha wanawapoteza.

Wengi wao ni legelege, na hata tendo la ndoa hawawezi kwakuwa uume hausimami.

Wapuuzeni

Sent using Jamii Forums mobile app

Nyongeza: wenye akili ndio huoa! Maana maandiko yanasema mwanaume aishi na mwanamke kwa akili
 
na kwenye ndoa nyingi pia inasemekana pumzi hamna performance ni zero kabisaa 🐒

unazungumziaje suala hili na nini maoni yako kwenye hili?🐒

ili kusudi kuzuia wimbi kubwa sana lililopo la msambaratiko wa ndoa za wiki2 au miezi3 town 🐒
 
Back
Top Bottom